Petro kalete jiwe!!

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe",Petro alinyanyuka na baada ya muda alirudi akiwa na jiwe mkononi.Alipompa Yesu akalibariki likawa mkate,akawagawia wanafunzi wake wakala.Lakini hawakushiba,hivyo wakaanza kumlaumu Petro,.."mbona umeleta jiwe dogo?",Petro akawajibu,"me nilijua mwalimu anataka kukalia!".
Siku nyinine tena wakiwa nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali,wanafunzi walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao,akasema "Petro kalete jiwe".Basi walinyanyuka wanafunzi kama 6 hivi,wakaleta jiwe kubwa huku wakilibiringisha.Walipolifikisha Yesu alilikalia na kuanza kuwafundisha neno!!
 
hahahahahahaha very funny kiukwel nimeipenda hyo kaka
 
Nyie mbona mnaleta Matani hata kwenye Mungu wenu? Mheshimuni na Kumwoga Mungu wenu. Mnafanza mizaha na utani kwa Mitume pamoja na Manabii.
 
nimeipenda sana hiyo.......maana watu huwa wanacheza na na opportunity sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom