nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
- Thread starter
- #21
Sifuri bila senti...!upo mkuu?
Nimecheka sana. Hii stori niliisikia zamani kwa mtindo mwengine kama ifuatavyo:Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe",Petro alinyanyuka na baada ya muda alirudi akiwa na jiwe mkononi.Alipompa Yesu akalibariki likawa mkate,akawagawia wanafunzi wake wakala.Lakini hawakushiba,hivyo wakaanza kumlaumu Petro,.."mbona umeleta jiwe dogo?",Petro akawajibu,"me nilijua mwalimu anataka kukalia!".
Siku nyinine tena wakiwa nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali,wanafunzi walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao,akasema "Petro kalete jiwe".Basi walinyanyuka wanafunzi kama 6 hivi,wakaleta jiwe kubwa huku wakilibiringisha.Walipolifikisha Yesu alilikalia na kuanza kuwafundisha neno!!
khaaah hyo kali walah,mtwara??Yesu wa wapi huyo? Mtwara kuna yesu anazuia gesi isitoke.
Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe",Petro alinyanyuka na baada ya muda alirudi akiwa na jiwe mkononi.Alipompa Yesu akalibariki likawa mkate,akawagawia wanafunzi wake wakala.Lakini hawakushiba,hivyo wakaanza kumlaumu Petro,.."mbona umeleta jiwe dogo?",Petro akawajibu,"me nilijua mwalimu anataka kukalia!".
Siku nyinine tena wakiwa nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali,wanafunzi walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao,akasema "Petro kalete jiwe".Basi walinyanyuka wanafunzi kama 6 hivi,wakaleta jiwe kubwa huku wakilibiringisha.Walipolifikisha Yesu alilikalia na kuanza kuwafundisha neno!!
pa1 mkuuHahahahahahaha hiyo kali mkuu

teh....hususan yuda!Haahhahha watu wanapenda msosi acha tu hhahahh
teh....hususan yuda!
Ni ukweli ama?
duuh c utarudi mida or?Santee kwa stori hii yenye mafundisho.
Nalog off
teh tehHalki ya Mungu yesu ni noumer
halaf hatubadiliki!Safi sana mkuu. Ndivyo tulivyo binadamu
Nimecheka sana. Hii stori niliisikia zamani kwa mtindo mwengine kama ifuatavyo:
Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake wanapanda juu ya Mlima Sinai, walipofika juu hoi bin taabani kwa machofu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa. Yesu alifahamu mawazo yao akasema, "Petro kalete jiwe", Petro alinyanyuka na baada ya muda alirudi akiwa na jiwe mkononi. Alipompa Yesu akalibariki likawa mkate, akawagawia wanafunzi wake wakala. Lakini hawakushiba,hivyo wakaanza kumlaumu Petro, "mbona umeleta jiwe dogo?", Petro akawajibu, "msikujua kama atalibadilisha kuwa mkate!".
Siku nyengine tena wakiwa katika Mlima Sinai, baada ya mafundisho marefu na jua kali, wanafunzi walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao, akasema "Kila mtu alete jiwe". Basi wanafunzi walinyanyuka wakaenda kuleta mawe, kila mmoja akarudi na jiwe dogo kiasi chake isipokuwa Yuda (msaliti). Yeye alibingirisha mzinga wa jiwe huku akiwaza jinsi siku ile atakavyovimbiwa. Alipolifikisha Yesu alilikalia jiwe la Yuda na kuamrisha, "Petro, toa mikate mkobani mwangu uwagawie wenzako".