POSHO MAVYEO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 371
- 112
Kwamba Azizi anamiliki more than 30% ya hisa na kodi wanalipa kwa kupima wanavyotaka wao, matokeo yake ni babu zetu wasio na ajira kulipia namba za simu kama vile hii ni TTCLYes I know what this gvt can do with one billion. Since Voda ni shareholders wa CCM, hiyo hela itatumika kwenye kampeni za ccm na kujaza matumbo ya wana ccm walio wengi ambao ndo watafunaji wazuri wa kodi za watanzania kuliko kuendesha shughuli za taifa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums