Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

Yes I know what this gvt can do with one billion. Since Voda ni shareholders wa CCM, hiyo hela itatumika kwenye kampeni za ccm na kujaza matumbo ya wana ccm walio wengi ambao ndo watafunaji wazuri wa kodi za watanzania kuliko kuendesha shughuli za taifa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwamba Azizi anamiliki more than 30% ya hisa na kodi wanalipa kwa kupima wanavyotaka wao, matokeo yake ni babu zetu wasio na ajira kulipia namba za simu kama vile hii ni TTCL
 
Yaani hali imesha aanza kuwa ngumu sasa kifurushi ni zaidi ya mia tano..sasa hapo unafuu wa mawasiliano walio usema tcra uko wapi yalikuwa maneno ya kisiasa tu..
 
Kodi ni lazima, serikali haiwezi kuendeshwa bila sisi wananchi kulipia kodi, ili serikali hii ieweze kutekeleza majukumu yake na hasa kutimiza ahadi za mheshimiwa rais wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2010 ni lazima wananchi tulipe kodi labda kama ulidhani alimaanisha kuleta neema zote zile kwa pesa kutoka mfukoni mwake.

by the way wewe unataka ubaki na hiyo elfu moja ya nini? watu milioni moja tukitoa hiyo buku buku kwa mwezi mmoja tu inapatikana bilioni moja, do you know what this Government can do with one billion?

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA.
Mi nafikil hap tujege hoja, kodi ya elfu 1000 kwa mwezi mi NAIPINGA KWA ASILIMIA ZOTE, Tatizo la Tanzania ni kuwekeza hela kwa vitu visivyo vya lazima hata kama kodi ingewekwa elfu tano lakin matumiz yasio ya lazima yakabaki yalivyo hiz ahadi unazo sema hazitatekelezwa, kitu cha msing Tanzania hela zipo ila zimewekezwa kusiko takiwa, Hiv hta kama hujui kusoma hiv hata picha huioni, fikili kitu kidogo kama magri yanayo nunuliwa na selikar, ex, magari ya CDA Dodoma ilikuwa na ulazima gani kununua magr ya thamn kubwa kias kile wakt kilomita moja toka nje ya Dom hakun hata maji y Kunywa. Fikl tena ghalam za sim ziko juu sana kwa sasa.
 
Bado napata tabu kuamini ilikuaje serikali chini ya wizara yake ikapitisha hili. Kulikuwa na sehemu nyingine nyingi tu za kutatua tatizo hili

Nionalo mimi ni kwamba ulipaji ama ukatwaji huu wa kodi wa moja kwa moja ndo umemuumiza sana mwanachi wa kawaida.

Ila inabidi tukuabliane kitu kimoja hapa.. Tunapaswa kulipa kodi kwa serikali, hakuna nchi ambayo raia wake wanadai maendeleo na huduma za kijamii halafu hawalipi kodi. Kodi hii sio ngeni duniani, kuna nchi kama turkey wao wanalipia dola 3 kwa mwezi kwa kila mtumiaji wa laini ya simu. Na tunaona wanavyoienyesha serikali yao kuhoji pesa za umma katka kodi zinatumikaje

Jambo jingine ambalo bado linanipa tabu ni kuamini mtanzania anayeishi kwa sh2000 kwa siku aweze kumiliki simu ya sh 15000 afu ashindwe lipia sh 33 kwa siku hata kama anaweka sh 250 kwa siku! Inawezekana simu akawa amepewa ila bado kiwango kipo reasonable

Ifike pahala tuache kulalamikia serikali juu ya haya mambo, ni kweli kuna mapungufu makubwa sna kwenye kukusanya kodi, na hususani matumizi yake pia! Tumeona walipaji ni wachache sna ukilinganisha na idadi ya watanzania, na pia tunafahamu kwamba serikali inasamehe baadhi ya makampuni ktk ulipaji wa kodi

Kama wananchi tulioguswa na hii kodi, tukapata uchungu kuona hela zetu zinakatwa kwa kiwango ambacho hakifurahishi! Tuhamishie uchungu huo huo kwenye kuiwajibisha serikali hii juu ya matumizi na mapato ya kodi hii ili tuweze kudai vizuri miundombinu na huduma za kijamii hata zile za kisayansi!
 
Bado napata tabu kuamini ilikuaje serikali chini ya wizara yake ikapitisha hili. Kulikuwa na sehemu nyingine nyingi tu za kutatua tatizo hili

Nionalo mimi ni kwamba ulipaji ama ukatwaji huu wa kodi wa moja kwa moja ndo umemuumiza sana mwanachi wa kawaida.

Ila inabidi tukuabliane kitu kimoja hapa.. Tunapaswa kulipa kodi kwa serikali, hakuna nchi ambayo raia wake wanadai maendeleo na huduma za kijamii halafu hawalipi kodi. Kodi hii sio ngeni duniani, kuna nchi kama turkey wao wanalipia dola 3 kwa mwezi kwa kila mtumiaji wa laini ya simu. Na tunaona wanavyoienyesha serikali yao kuhoji pesa za umma katka kodi zinatumikaje

Jambo jingine ambalo bado linanipa tabu ni kuamini mtanzania anayeishi kwa sh2000 kwa siku aweze kumiliki simu ya sh 15000 afu ashindwe lipia sh 33 kwa siku hata kama anaweka sh 250 kwa siku! Inawezekana simu akawa amepewa ila bado kiwango kipo reasonable

Ifike pahala tuache kulalamikia serikali juu ya haya mambo, ni kweli kuna mapungufu makubwa sna kwenye kukusanya kodi, na hususani matumizi yake pia! Tumeona walipaji ni wachache sna ukilinganisha na idadi ya watanzania, na pia tunafahamu kwamba serikali inasamehe baadhi ya makampuni ktk ulipaji wa kodi

Kama wananchi tulioguswa na hii kodi, tukapata uchungu kuona hela zetu zinakatwa kwa kiwango ambacho hakifurahishi! Tuhamishie uchungu huo huo kwenye kuiwajibisha serikali hii juu ya matumizi na mapato ya kodi hii ili tuweze kudai vizuri miundombinu na huduma za kijamii hata zile za kisayansi!

Jeuri na kibiri, waziri wa fedha amefanya haya akijua ni uonevu, serikali inapoteza 20% ya pesa ya kila bajeti yake kwa mwaka kutokana na rushwa na UFISADI , kuongeza mapato ni one thing na maendeleo ni issue nyingine, kuna maeneo mengi serikali inatakiwa kujibana ili kupnguza mzigo kwa wananchi.
Turkey sio wenzetu, turkey ni moja ya nchi inayoshindana na china kuwekeza Afrika hiyo ni nchi yenye UCHUMI Mkubwa kwa wananchi wake
 
Kwamba Azizi anamiliki more than 30% ya hisa na kodi wanalipa kwa kupima wanavyotaka wao, matokeo yake ni babu zetu wasio na ajira kulipia namba za simu kama vile hii ni TTCL

Tanzania ni nchi pekee kiongozi anaweza kuwa na vyeo saba na vyote akalipwa mafao ya kustaafu, mafao ya vyeo vyote mkapa kufa, na posho za kufa mtu,

Mkapa kufa au mpaka?
 
16th July 2013
Tanzania Internet Service Providers Association (TISPA) has announced that it will raise service charges over 18 per cent VAT and the 14.5 percent excise duty introduced by the government this financial year.

The move will make the country’s internet consumers the highest taxed in Sub-Saharan Africa, prompting Gregory Almeida, chairperson of TISPA to say: “We as TISPA and our members would like to express our dissatisfaction over the move...we would like to inform the public that the new prices of internet services will be raised…and will impact the pocket of end users, significantly”.

Despite being the fastest growing sector in the country with over 20 percent contribution to GDP, the association strongly believes that this new excise duty will lead to a negative impact on the growth of the sector compounding the unaddressed low penetration of just six million internet users in Tanzania, TISPA said.

TISPA calls the new tax ‘a bitter pill’ for both internet users and internet service providers and it makes internet more expensive and the business less profitable.

The new excise duty will widen the digital divide between the developed and developing areas countrywide and also with other countries further deterring non-users from accessing internet services.

Almeida said the new tax negatively impacts socio-economic development because it will inflate the cost of internet and data services for consumer as the extra cost of production (in form of the 14.5% tax) is passed directly to the public and businesses by the Internet Service Providers.

Further, the chairman points out that the new levy will push up the cost of doing business upwards making Tanzania an unfavorable destination for investors.

The chairman deems the new tax to be a result of government efforts to raise revenue to meet its budget needs and advises that the process of budget making should be a consultative one between the government, stakeholders and the public at large.

TISPA’s Secretary General, Frank Goyayi seconded the chairman, “…we wish to express our discontent with this move it will slow down public access to internet. ..,” he said.

He said rural expansion of ICT is the entire sector's priority noting that it is in these remote areas that growth is expected and given the poverty levels of those regions then any tax increases will impede ability to roll out internet to rural areas and as a result hamper the Millennium Development Goals, notably, ‘alleviating poverty through the use of ICT of which internet is key.’

Recently, Mobile Operators in Tanzania (MOAT) opposed the government decision to impose a 14.5 per cent excise duty on their services, claiming it will neither boost internet penetration nor attract new users.

The Association further highlighted that the introduction of higher duty would go against ongoing efforts to change Tanzania into a ‘knowledge–based society.’
Tanzania’s internet penetration stands at only 10 percent, compared to neighboring Kenya’s which was at 40 per cent.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Inafikia kipindi mimi nikifikiria kuhusu ubunifu wa serikali ya CCM nabaki nimeshika tama, line ya simu ni kama sahani ya chakula.Hivi kama serikali ina watu wenye akili timamu unaweza kupandisha kodi ya chakula harafu bado ukawataka wananchi walipie sahani zao zilizopo majumbani mwao kwasababu wanatumia sahani hizo kula chakula?
 
Nashangaa watanzania huwa hawapendi kusikia neno kodi na kama ikiwepo wanataka alipe MENGI na wengine wa aina yake. kama wewe ulikuwa bado kujenga uwezo wa kumiliki simu na kuhimili makandokando yake uliinunua ya nini? mathalani huwezi kununua gari kama huna uwezo wa kununua fuel na kulipia kodi mbalimbali. kama Nchi ni lazima tuwe na vyanzo vingi vya kodi ili tufike mahali tujitegemee.
Hoja kwamba vingine vya kodi bado havijasimamiwa vizuri ni kweli lakini haihalalishi kuzuia kodi ya laini za SIMU.ILI TUWE NA WAPIGA KURA WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO, ni lazima tuwe Taifa la walipa kodi. ukiwa na mkokoteni lipa kodi, ukiwa na baiskeli lipa kodi,ukiwa na genge lipa kodi,ukiwa ni Bar maid lipa kodi, ukiwa ni mmiliki wa hotel lipa kodi.hata kukaa tu mjini ina bidi kuwe na kodi yake.BAADA YA HAPO NDIO TUTAJENGA UTAMADUNI WA KUWAWAJIBISHA WANAO FUJA FEDHA ZA UMMA.

mambo yenyewe Ndo haya

Mjadala mkubwa ndani ya kikao hicho
ulitokana na kufanyika kwa tathmini ya
utendaji na ufanisi wa Radio hiyo, hali
iliyothibitika kuwa imepoteza kundi la
wasikilizaji na kukosekana kwa mvuto
kwa wasikilizaji na pia kukosekana kwa
ari ya wafanyakazi ambao hutayarisha
vipindi na kupiga debe ili kukisaidia
Chama Cha Mapinduzi kushinda kwenye
chaguzi zake kuu.
Hata hivyo kwa upande mwingine
malalamiko ya msingi toka kwa
wafanyakazi wa kituo hicho ni juu ya
makato ya fedha ya Hifadhi ya Jamii
(NSSF) kudaiwa kutowasilishwa
kunakohusikili hali fedha ya wafanyakazi
inakatwa kila mwezi na pia baadahi ya
wafanyakazi kudai kuna ubadhirifu
mkubwa wa fedha za taaasi na mali zake.
Pia kuna tuhuma za tasisi hiyo kutolipa
kodi (PAYEE) TRA ili hali wafanyakazi
wanakatwa kodi hiyo kila mwezi.
 
Napinga vyote viwili, Petition na Wito. Kodi hii na nyingine ziongozwe maradufu.
Inawezekana wewe ukawa ni mmojawapo wa wabunge wavuta bangi ambao walikwenda kupitisha kodi ya kipumbafu kama hii! Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kupitisha kodi ambayo mtu wa kipato cha chini kabisa wa kule kijijini atalazimika kulipa kodi sawasawa na waziri au mfanyabiashara mkubwa kama Mengi?

Yaani yule ambaye amenunua line ya simu kwa ajili tu ya kupokelea simu ailipie sawasawa na yule anayemiliki line ya simu kwa ajili ya biashara, si utaahira huu?

Mimi mara nyingi nasema kwamba nchi hii inongozwa na maroboti ambayo, yanaendeshwa kwa remote control. Kuna watu wanafikiria kwa niaba yao. Wao wenyewe hawana hata akili ndogo tu ya kureason out what to do for their country. Ndiyo maana umaskini hauishi despite the plenty resources we have.

Kweli mtu unashindwa kuwa creative kwenye makusanyo ya kodi za kawaida kama hizi? Mtu anayetumia milioni tano kwa mwezi kwenye simu unamtaka alipe kodi sawasawa na anayetumia mia tano kwa mwezi? Ni lazima uwe taahira ndiyo uweze kufikiria hovyohovyo namna hii.
 
Inawezekana wewe ukawa ni mmojawapo wa wabunge wavuta bangi ambao walikwenda kupitisha kodi ya kipumbafu kama hii! Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kupitisha kodi ambayo mtu wa kipato cha chini kabisa wa kule kijijini atalazimika kulipa kodi sawasawa na waziri au mfanyabiashara mkubwa kama Mengi?

Yaani yule ambaye amenunua line ya simu kwa ajili tu ya kupokelea simu ailipie sawasawa na yule anayemiliki line ya simu kwa ajili ya biashara, si utaahira huu?

Mimi mara nyingi nasema kwamba nchi hii inongozwa na maroboti ambayo, yanaendeshwa kwa remote control. Kuna watu wanafikiria kwa niaba yao. Wao wenyewe hawana hata akili ndogo tu ya kureason out what to do for their country. Ndiyo maana umaskini hauishi despite the plenty resources we have.

Kweli mtu unashindwa kuwa creative kwenye makusanyo ya kodi za kawaida kama hizi? Mtu anayetumia milioni tano kwa mwezi kwenye simu unamtaka alipe kodi sawasawa na anayetumia mia tano kwa mwezi? Ni lazima uwe taahira ndiyo uweze kufikiria hovyohovyo namna hii.

Mbona VAT tunalipa sawa tu Jamani?? au Matajiri wana rate tofauti ni 18%
 
Corruption eats up 20pc of govt budget

9th June 2013
Corruption now eats up 20 percent of the monies earmarked for the country’s development effort even as the government claims to have perennial shortages of funds to finance its general budget.
At that rate, the government will have lost a whopping Sh3.02 trillion in this year’s budget (2012/2013) amounting to Sh15,119,644 by June 30, this year.
This was revealed here on Friday evening at a workshop on capacity building to members of the budget committee, the Public Accounts Committee (PAC) and the Parliamentary Local Authorities Accounts Committee (LAAC) on corruption.
If the trend holds unchecked the government is going to lose a staggering Sh3.54 trillion from its tentative budget of Sh 17.7 trillion in 2013/2014 financial year to be announced officially next Thursday in Dodoma.
The workshop was jointly organized by the National Assembly and the UN Development Programme (UNDP) under the Legislative Support Project 2011-2015.
This revelation worsens the spending behaviour of the government considering that it has consistently failed to fully explore other avenues for revenue collection. Recently, Kisesa Member of Parliament Luhaga Mpinga (CCM) revealed that the government was losing a staggering Sh2.870 trillion every year due to its failure to collect tax from various sectors.
The MP singled out the telecommunication, fishing, forestry and mining sectors as some of major tax defaulters.
Mpina said various studies conducted both within the country and abroad showed Tanzania loses Sh525bn/- in tax evasion every year from the mining sector alone.
He said another Sh600 billion is lost in much the same way within the telecommunication industry -- as is Sh362 billion lost in fishing industry.
The MP said the situation was worse in the informal sector, where as data showed the government has been losing Sh 1.3 trillion annually.
These financial trends were worrisome, as verified by the Controller and Auditor General (CAG), Ludovick Utouh, who in April this year released various government audited financial reports for 2011/2012 year which also revealed that the government had lost Sh789.883 billion through tax exemptions over the period under review.
According to CAG, tax exemptions had reached Sh1.8 trillion by 2011/2012 financial.
At last Friday’s workshop, Magu Urban MP Dr Festus Limbu (CCM) presented a paper on ‘the roles of parliamentary committees and parliament in fighting corruption in Tanzania’ and said the Prevevention and Combating Corruption Bureau (PCCB) needs to be empowered to facilitate increased and more efficient operations.
He also took note of the perennial 20 per cent losses to corruption, and argued for the need for a strong anti-corruption watchdog.
“We need to have a strong anti-corruption watchdog … at the moment our systems are not strong enough, as a result corruption has turned to be an ordinary thing. It is high time that the government brought a bill in the House to make PCCB autonomous,” he said.
Dr Limbu noted that the country had reached a stage at which the general public regards the country’s corrupt individuals as heroes.
Special Seats MP Mary Mwanjelwa (CCM) said it was high time the government considered tabling a bill in Parliament aimed at giving the PCCB full autonomy in discharging its duties.
“We have talked a lot and I think it’s time the government brings to this House a bill that will lead to the formation of a law that will make PCCB a fully autonomous bureau,” she said.
The Head of School of Social Sciences at the University of Dodoma (UDOM), Prof Davis Mwamfupe said the government should stop meddling into the affairs of anti-graft watchdog when dealing with corruption cases.
Prof Mwamfupe was presenting a paper, on “challenges facing Parliament and government in combating corruption in Tanzania.”
He also added that corruption had taken new dimensions -- coming in various faces – in itself a wake-up call to PCCB to also change techniques in a bid to deal with the culprits effectively.
Prof Mwamfupe also challenged the way Parliament was addressing issues related to corruption, adding that some MPs were more associated to the government than their voters -- which he said was also a sign of corruption.
The Minister of State, President's Office (Good Governance) George Mkuchika concurred with calls for a better equipped and empowered PCCB.
He noted that in other countries organs like the PCCB had powers to arrest, investigate and prosecute.
Mkuchika said that giving PCCB such powers would help curb current trends under which cases are delayed with the two institutions PCCB and DPP offices blaming each other for the delays.
He added that the government will also propose for the inclusion in the new constitution issues related to corruption as the current constitution does say much about corruption.
SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY



Mbona VAT tunalipa sawa tu Jamani?? au Matajiri wana rate tofauti ni 18%
 
Kuna habari hapo juu redio ya CCM inadaiwa kodi na TRA kwa kipindi kirefu tu, hela zipo hakuna sababu ya kukamua masikini

Hiyo kodi wamekatwa nani si wafanyakazi? hilo tatizo la watu kutokuremit kodi tra inaweza ikawa cash flow problems ukizingatia hako karedio kako overstaffed wakati hakana market share ya kukafanya kaweze kusurvive sokoni, hii ni administrative issue ya tra na haina mahusiano na wajibu wetu wa kulipia kodi.
 
And your reasons are.......

Ni wajibu wetu kulipa kodi alafu tukalale raha mstarehe wakati serikali inatumia kodi hizo kutupatia huduma za kijamii. period. watu wengi wanalalamikia hii kodi kwa sababu wanadai serikali inatumia kodi vibaya, hata mimi hilo nalijua lakini lina namna ya kutatuliwa na sio kwa kukataa kulipa kodi.
 
Mbona VAT tunalipa sawa tu Jamani?? au Matajiri wana rate tofauti ni 18%
Sina uhakika kama umeelewa unachokiandika! Maana hiyo VAT inalipwa kwa asilimia ya unachonunua. So kama mimi huwa nanunua maji ya uhai ya sh 200, halafu yeye ananunua maji ya kilimanjaro ya sh 1000 vat zetu haziwezi kuwa sawa. Yeye atalipia 180 mimi nitalipia sh 36. Huoni kuna tofauti kubwa sana hapo?
Tunataka na simu tulipie kulingana na asilimia ya matumizi. Kama mimi naweka vocha ya sh 1000 basi niilipie kodi hiyo 1000 na si kunilipisha kodi laini ya simu hata kama siitumii. kama yeye anaweka vocha ya shilingi milioni kumi, ailipie kodi hiyo milioni kumi na si vinginevyo. Hii ya kututaka tulipie laini za simu hata tunazowaachia mahousegil nyumbani, haikubaliki kabisa. Na ninasema aliyepitisha kodi kama hii ni mwehu.
 
Back
Top Bottom