POSHO MAVYEO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 371
- 112
nimepita naona watu kwenye hiyo petition WITO WA KUSITISHA TOZO/KODI YA LAINI YA SIMU KILA MWEZI KUFUATIA MABADILIKO YA SHERIA YA KODI 2013 naona watu wamekuwa wakali kweli, speed ya ku saini sio mchezo,
na uzuri wake ni email na jina tu fasta umesaidi lazima nimpiganie babu yangu awe na simu maana yeye hana kipato chochote zaidi ya hela tunazomtumia, kwa nini asiwe na simu ala
na uzuri wake ni email na jina tu fasta umesaidi lazima nimpiganie babu yangu awe na simu maana yeye hana kipato chochote zaidi ya hela tunazomtumia, kwa nini asiwe na simu ala