Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

Mwanakijiji;

Yale majumba unaweza kuyapata hata kwa kamera ya kawaida ingawa yataonekana kwa mbali.

PM;

Nadhani pale karibu na mwembe kuna ka bango......au ngoja wiki hii nikienda Mkata nitacheck tena, Ila sijawahi kusoma bango lile. au nimechanganya? majumba yenyewe yapo kushoto kama unaelekea Segera juu mlimani au?

FP
 
Mkuu usisahau kuwa licha ya Mradi wa NCHI,Mkulu ni Mkulima stadi,ana shamba kubwa sana la MANANASI,ameifanya biashara hii kwa takriban miaka miwili unusu na anashauri kuwa ni biashara yenye kurudisha faida kwa haraka sana!!Isitoshe Wataalam wa kigeni (Iranians,Asians,Canadians)wapo kwa kutoa ushauri wa Bure.
**Mwikimbi wala usiwe na hofu,JK anajifadhili mwenyewe!Akidunduliza kwenye Mradi wa NCHI na wa MANANASI,mwakani lazima na kwa Bi.Salma kupendeze tu.
Pamoja na kilimo cha mananasi ni mfuga kuku mzuri sana
 
jana nilipita sehemu inayoitwa msoga kama km kumi ukitokea chalinze, kwenda arusha. kuna kitongaji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa jk. kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa pale. wenyeji wanasema inajengwa ikulu pale.
.......................

je ni nani anafadhili ujenzi wa ikulu mpyaa vicoba? kama ni serikali iko kwenye bajeti?

isije ikawa yale mambo ya mobutu seseko kuhamishia ikulu kule gbaolite!
mwenye information naomba annielimishe

Mkuu Mwikimbi, where is your sense of objectivity and fairness?
Did you expect JK to live in a mediocre residence after being a president of about 40million Tanzanians?
Mwalimu had two residances at Msasani and Butiama built by the state.
We dont know about Mwinyis residence at Mikocheni , alsoMkapas residence in Lushoto and Masasi.
It will be mean to expect a president to live like a pauper after service.
Most of all it might create a dis incentive for one to step down from the presidency!!
 
Wakuu tuleteeni picha ya lile kasri la BM kule LUSHOTO

Mutua12!

Usituchanganyie habari hapa au umetumwa na sisiem!! Lushoto ilijengwa na pesa haramu za Rada ndio maana JMK pamoja na kupokea ripoti ya SIFO ameteta na Vijisenti na kuamua the rada issue should RIP ili kuwalinda CCM as they are tired with scandals!

Rahid Idris anatakiwa atoe mchango from Tanesco next elections you can see ndio maana wamemteua Peter Ngumbulu kuwa Chairman wa Board while they know he is on his dying bed!! Reason Dr. Rashid to go it alone na atimue by November!!!! Wizi mtupu!!! Shame on Ngeleja and Kikwet!!!

Napendekeza waunde tume kuchunguza ujenzi wa yale makasri pale Msoga kijijini!! kwani as far as I know that is a private land kama ilivyo kule Butiama!!

Mkapa alijenga Lushoto ili kumjibu Mtikila kwamba kwao soi Masasi bali ni Msumbiji na huko Lushoto hakai imekuwa ni tourist resort je TRA na maliasili mmempatia leseni au ni ANBEN Ltd!!!!
 
Wakuu heshima kwenu!
Nimefurahia michango mingi hapa, wakati bado natafakari hoja, nadhani sasa twaweza jua kwanini VITA ILE YA KUSHUGHULIKIA UFISADI UVCCM ilikuwa ngumu kiasi kwamba mpaka leo ile,kamati mtakuñbuka ilipewa sikwiki mbili kama sikosei,mpaka leo mimepiata miezi hakuna matokeo
 
Mimi simtetei jamaa lakini hili la nyumba analiweka wazi sana... wakati alipopewa kiwanja kule Dodoma na wanakijiji sijui ni wa Chamwino au la... sikumbuki sana.

Alisema asanteni sana kwa kiwanja lakini jamani munikubalie kwamba nitakawia kukiendeleza kwa kuwa bado nina ujenzi kule kwangu.

Tena akawachekesha kwamba halimashauri imuhurumie wasije chukua kiwanja chao.

Endeleeni na source ya fedha ya ujenzi, lakini kwake hajaficha hili.
 
Mimi naona nivizuri akijenga nyumba yake nzuri kwani kutembeza kopo la matonya nayo kazi .Ningemuhurumia kama hata yeye hajipendi kama asivyo wapenda watanzania.Nampa pole.
 
Uraisi mzuri bwana!! nimepita pale URSINO juzi kile kitu cha Mkulu ni cha hali ya juu mno! Lakini hawa viongozi wetu wa sasa wanapata wapi mapesa!!? mbona mwalimu nyumba yake msasani nasikia alikopa benki fulani ndiyo akajenga?
 
,Mshahara wa Raisi ni kiasi gani ? Marupurupu ni kiasi gani ? Posho ya safari ni kiasi gani ? Baada ya kuunga unga jiulize anaweza kujenga kwa kutumia mihele hiyo aka vijisenti ?

Ikiwa mbunge tu anaweza kujenga magolofa vipi Raisi asiweze kwa kutumia ujumla wa mshahara wake wa Mwaka mmoja tu awapo madarakani ? WaTz tunajua Raisi wetu anapokea ngapi kwa kipindi cha Mwaka mmoja tu ?
 
,Mshahara wa Raisi ni kiasi gani ? Marupurupu ni kiasi gani ? Posho ya safari ni kiasi gani ? Baada ya kuunga unga jiulize anaweza kujenga kwa kutumia mihele hiyo aka vijisenti ?

Ikiwa mbunge tu anaweza kujenga magolofa vipi Raisi asiweze kwa kutumia ujumla wa mshahara wake wa Mwaka mmoja tu awapo madarakani ? WaTz tunajua Raisi wetu anapokea ngapi kwa kipindi cha Mwaka mmoja tu ?

Mkuu hayo yoote huenda ni sawa wana mahela hayo! lakini ni sawa kujirundikia miposho mikubwakubwa katika nchi masikini kama hii!?
Unakufahamu Nakapanya?? njia ya kuelekea Tunduru ukitokea Masasi? kama kweli unaroho ya utu utasononeka sanasana ule ukanda unaumasikini mkubwa kabisa, unapita alfajiri unawaona watoto wa shule barabarani wamejikunja kwa baridi kali huku wameshika vifagio hakuna alievaa kiatu! sare zao miguu yao na vichwa vyao vina rangi ya udongo!
Unageuka, unaangalia tunyumba wanatotoka unawaona wazazi wao wanatoka wakiwa na tujembe twa mkono, tumelika huto! yaani, mpini umelika kufikia usawa wa mpini wa shoka! Nguo walizovaa wazazi hao zinawa dhalilisha kabisa!
Wakati machungu hayo yakiwapata ndugu zetu, Ndani ya nchi hiihii maraisi wetu, wabunge wetu, mawaziri wetu n.k wanaishi kama wako PARADISO! Kwanini jamani tusigwane hiyo mihela na ndugu zetu ambao ni masikini kabisa mno sehehemu mbalimbali za nchi yetu!!??
 
Mwanakijiji;

Yale majumba unaweza kuyapata hata kwa kamera ya kawaida ingawa yataonekana kwa mbali.

PM;

Nadhani pale karibu na mwembe kuna ka bango......au ngoja wiki hii nikienda Mkata nitacheck tena, Ila sijawahi kusoma bango lile. au nimechanganya? majumba yenyewe yapo kushoto kama unaelekea Segera juu mlimani au?

FP

FP,

Haya majengo yako PM aliandika:-

mmj KWA MAJUUMBA YA CHALINZE NI RAHISI SANA ITABIDI KAMA KUNA MWANDISHI UNAMFAHAMU...AENDE NA KAMERA KUBWA..INAYOWEZA KUVUTA KM 1 AU 2....MAANA MAJENGO YA GOROFA WANAYOONGELEA HAPA YANAONEKANA KWA MBALI KILIMANI UKIWA UNASHUKA NA BARABARA.....KM 10 BAADA YA KUTOKA CHALINZE UKIELEKEA SEGERA......UPANDE WA KUSHOTO....UKIFIKIA USAWA HUO KUNA MITI MIKUBWA NA ACCESS ROAD TU,,..HUTAONA CHOCHOTE ..HII INALAZIMU KUWA NA KAMERA PROFFESSION...USIMAME UVUTE UPIGE....SASA NADHANI HILI NDILO LINALETA UGUMU AU HAO WAANDISHI WANAOGOPA SIJUI..LAKINI...UNAWEZA KUMPATA MMOJA AAKAKUTUMIA PICHA...

KWA HII YA MIGOMBANI ....IMEZUNGUSHIWA UKUTA MKUBWA ..NA ULINZI UPO...NADHANI PIA HII INAKUWA NGUMU KWA MTU KWENDA TU KUJIPIGIA PICHA BILA KUJULIKANA MOTIVE ..NA INAJULIKANA WAZI KUWA HIZI PICHA ZINATAFUTWA.....

Pia mimi na PM tukasema:-





.WAZEE KWELI JF WATU MBINU ZIPO....PAMOJA NA KUIJUA GOOGLE EARTH..JANA WAKATI MJJ ANAULIZA NAMNA YA KUPATA PICHA ..SIO MIMI WALA YEYE ALIYEKUMBUKA GOOGLE EARTH..

SIKONGE AMEMALIZA WAZEE......KAMALIZA KABISA NJIA YA VUMBI UPANDE WA KUSHOTO ...KULIA kuna KWA barabara KUU KUNA MSIKITI MPYA.......UNAANGALIANA NA BARABARA YA VUMBI........

Nafikiri umeshaelewa hilo eneo ni lipi. Unaweza kuliangalia kwanza kwenye GOOGLE EARTH ili kuwa na uhakika.
 
..HAYO MAJENGO TANGU MSINGI ULIPOANZA MARA TU ALIPOINGIA MADARAKANI TULILETA TAARIFA HAPA.....PALE NI MAKAZI YAKE BINAFSI...PALE NDIPO ASILI YA UKOO WAO..BAGAMOYO WALIHAMIA TU...!!!....ANAJENGA MAKUMBA PALE ILI UKOO WAKE WOTE UHAMIE PALE.....SANJALI NA HUO UJENZI PIA MAKAZI YAKE YA MIGOMBANI STREET ALIBOMOA NA KUNUNUA KIWANJA CHA JIRANI YAKE PALE ..NATAYARI JUMBA KUBWA LIMESIMAMA PALE...

UJENZI HUU NI NJE YA UJENZI AMBAO HUFANYWA NA SERIKALI KAMA STAHILI YA RETIREMENT PACKAGE AMBAO KWA KAWAIDA KIKWETE ATASTAHILI TENA KUJENGEWA NYUMBA NA OFISI SEHEMU ATAKAYOCHAGUA PALE ATAKAPOKARIBIA KUSTAAFU..MWAKA 2010.......AU KAMA BAHATI NBAYA HATAWEZA KUENDELEA NA MADARAKA KWA SABABU YOYOTE.......

ZILE NYUMBA ZA NATIONAL HOUSING PALE ZIMEJENGWA KATIKA MKAKATI WA KUHAMISHIA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI PALE CHALINZE ....BAAADA YA KUONEKANA WAZI KUWA KIBAHA HAICHANGAMKI AU INAKARIBIA KUMEZWA NA DAR ES SALAAM......

..MOJA YA WASIMAMIZI WA MRADI WA MAJUMBA YA KIKWETE NI RAFIKI YAKE WA TANGU ZAMANI ..BAGAMOYO...BWANA SUBASH PATEL,,,,,ambaye pia humsimamia baadhi ya kazi zake nyingine.........hivi karibuni kwa heshima ya kikwete bwana subash alikarabati shule ya msingi aliyesoma kikwete.....hapo kijijini.....

UKWELI NDIO HUO!
Kumbe Subash Patel aliepo kwenye orodha ya mafisadi papa ni rafiki wa siku nyingi wa JK kama ni kweli tumekwisha,malalamiko tutapeleka wapi wakati viongozi wanashirikiana na wahujumu wa mali za umma wana JF na Watanzania mpo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu heshima kwenu!
Nimefurahia michango mingi hapa, wakati bado natafakari hoja, nadhani sasa twaweza jua kwanini VITA ILE YA KUSHUGHULIKIA UFISADI UVCCM ilikuwa ngumu kiasi kwamba mpaka leo ile,kamati mtakuñbuka ilipewa sikwiki mbili kama sikosei,mpaka leo mimepiata miezi hakuna matokeo


..nadhani umeelewa haswaaaa...

..nadhani pia umeelewa kwa nini baaada ya mengi kumtaja SUBHASH PATEL ...kikwete ameamua kumtosa mengi rasmi...na vita yetu ya ufisadi...

nadhani unajuwa pia kuwa jumba la jk la bagamoyo nalo limekamilika....

na magorofa yake wanayojenga na subhash sehemu mbali mbali jijini yanaendelea kwa kasi!!!!

hujagusia ubia wa mahoteli ya serengeti na ngorongoro ...maana tukiyaweka hayo sasa hivi...warusha taulo ulingoni wataaza ubishi ...kama walivotubishia mwaka 2006 mwishoni tlipowaambia kwa mara ya kwanza kuwa jk ameanza foundation ya majumba sehemu tatu kwa mpigoo!!!

uamuzi ni wetu wananchi...kuona kama haya yanaendana na kipato cha kazi namba moja nchini!!
 
Mimi simtetei jamaa lakini hili la nyumba analiweka wazi sana... wakati alipopewa kiwanja kule Dodoma na wanakijiji sijui ni wa Chamwino au la... sikumbuki sana.

Alisema asanteni sana kwa kiwanja lakini jamani munikubalie kwamba nitakawia kukiendeleza kwa kuwa bado nina ujenzi kule kwangu.

Tena akawachekesha kwamba halimashauri imuhurumie wasije chukua kiwanja chao.

Endeleeni na source ya fedha ya ujenzi, lakini kwake hajaficha hili.

kasheshe utarusha taulo sana ulingoni kumuokoa bondia !!!...lakini mwisho wa siku utachoka maana uvundo ni mwingi ....we just give you time ...hata kama hutakiri hadharani hapa ...utakiri kimya kimya!!!
 
Kwa kuwavamia watu hakutapatikana faida yeyote ile ,watu wataendelea kupora na kukwiba tu ,mradi wao ndio wazibiti wa Nchi hii basi hakuna kelele na mayowe yatakayowasitua ,ila kelele za kudai Katiba mpya ndizo zitakazowafikisha katika vitanda vya wagonjwa ,hilo tu hakuna jingine.Sasa mnaweza kuendelea na kubwabwaja na kuanika hili na lile mwisho wa siku yote yatakauka.
 
Tanzania Tanzania, hivi utaendelea kunyonywa hata lini? Amka ujitetee, amka wewe uliyelala, maana uliodhani watakusitiri ndo hao wanaokuibia, kukunyonya na hata kukubeza kwa kiwango cha kumsikitisha kila akuonaye. Ewe Tanzania uliyebarikiwa kwa kila namna, nchi iliyo jaa maziwa na kila namna ya asali kuanzia ya nyuki wadogo hata wakubwa kwa aina zao.

Kweli nikuangalipo Tanzania na namna wale wajiitao wazawa wakishirikiana na wakuja namna wanavyokufyonza inanisikitisha. Mambo haya yataisha lini???? Pole sana ewe Tanzania. Lakini kumbuka yote hayo yana mwisho nao hauko mbali tena wafanya upesi kuliko wengi wetu tulivyodhani. Tanzania, Tanzania, nakulilia Tanzania!!! Siku za hao wakudhalilishao zimehesabiwa na kikombe cha UFISADI wao sasa kimefurika, si mbali hasira yako ee Tanzania itawafurukia na sijui wataficha wapi nyuso zao, hakika nafasi yao haitakuwepo katika upenuni wa ardhi yako ee Tanzania bali wote wataishia kule kwenye shimo refu la mabaradhuli.

Pole kwako Tanzania, ila yote hayo yana mwisho!
 
Last edited:
historia ya estim construction co ltd

1988-1990 kampuni ya konoike ilipewa kazi ya kujenga mradi wa maji uitwao the great nakuru water supply project nchini kenya. mtu aitwaye girr mhindi aliajiriwa kama karani wa kawaida.

1990s konoike walihamia dsm kwenye mradi wa dsm road improvement program(drimp), wahamia hapa na bwana girr, huyu baadaye akaungana na mtanzania mmoja mhandisi mahiri aitwae paul j.sirito, wakaanzisha estim construction.(estim=establish and maintain). huyu girr akaja kumwondoa yule mtanzania akabaki mwenyewe.

hivyoo girr mohamed ndo mkurugenzi wa estim, shubash patel hapana.

estim ni kampuni inayobebwa sana na konoike construction na ina uadilifu wa kijapan. bahati mbaya wanasiasa wanashinda pale kwenye ofisi zake za mikocheni wakilia njaa. wengine wakiomba awajengee nyumba haswaa mary nagu

Mkuu Mwikimbi,YOU ARE WRONG on some facts on Estim Construction CoLt(Eccl)
Fact:Managing Director wa Eccl ni Giri Pindoria(sio Girr mohammed!)
Fact:Giri Pindoria ni Civil Engineer na aliajiriwa hivyo na Konoike hapo awali na sio "karani wa kawaida"
Fact:Mhandisi Paul Sirito(marehemu) HAKUWAHI kuajiriwa na Eccl, bali na konoike
Fact:Kabla ya ESTIM kuanzishwa hapa hapa DSM, ilikuwa inaitwa EPCO na ilimilikiwa na waAsia wawili wote toka Kenya Giri akiwa mmoja wao.
Fact:Estim ni moja ya makampuni na ujenzi yaliyolelewa na kutuzwa vizuri kiutendaji wa ujenzi wa barabara,ikiwa chini ya Konoike(sub contractor)
Uhusiano wa Estim na Subash Patel bado ni kitendawili maana Giri Pindoria anafahamika sana kwa utendaji mahiri na uaminifu.
 
Hizi ni siri za taifa na kupiga picha maeneo kama hayo ni kuhatarisha usalama wa taifa. So.. well mlitaka Rais aishi kwenye kijibanda?


USALAMA WA TAIFA UNAHATARISHWA NA MAFISADI WALA SIO KUPIGA PICHA HILO ENEO. KWANZA SIKU HIZI WITH TECHNOLOGY MTU ANAWEZA KUONA HADI BEDROOM KWAKO HATA AKIWA WAPI. KINACHOHOJIWA HAPA NI PESA ANAZOZITUMIA KUJENGA ZINATOKA KWENYE FUNGU LIPI. HATUNA SHIDA HATA AKIJENGA KIJIJI KIZIMA KAMA HATUMII PESA ZA WALIPA KODI (INAUMA SANA) WAKATI WATU WANAKOSA DAWA HOSPITALINI NA BARABARA NDIO KAMA HIVYO BONGO TAMBALALE. Je una habari kwamba sasa hivi nchi tajiri duniani zinakaa na kupanga jinsi ya kupata ardhi Tanzania? Kama tuna viongozi ambao ni weak unategemea nini? Si ndio mwanzo wa kujikuta tunarudia yale yale ya Tanganyika kuitwa Germany East Africa tena in a more advanced form.
 
Back
Top Bottom