Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

Mwana K Zilianza Baada Ya Uraaisi Ila Tangu Watangaze Pesa Za Epa Kurudi Zimekuwa Zikipandishwa Kwa Speed Ya Hali Ya Juu!!!!!
Mungu Ambariki Kwa Maisha Mema
Muombee Adui Yako Aishi Ili Aje Kuona Mema Bwana Yesu Atakapokuinua
Kila La Kheri Mh Raisi
 
Mwana K Zilianza Baada Ya Uraaisi Ila Tangu Watangaze Pesa Za Epa Kurudi Zimekuwa Zikipandishwa Kwa Speed Ya Hali Ya Juu!!!!!
Mungu Ambariki Kwa Maisha Mema
Muombee Adui Yako Aishi Ili Aje Kuona Mema Bwana Yesu Atakapokuinua
Kila La Kheri Mh Raisi
Pesa za EPA hazijarudi!labda kama kapewa Mtu
 
Borntown na wengine,
Picha tayari tumeshaona. Zipo EARTH GOOGLES. Soma ukurasa wa nne wa hii makala imeandikwa kila kitu. Pia ukiangalia si kweli kwamba hapo ni kiwanda cha Saruji kwani ni majengo ya watu kuishi au makazi na hakuna mkanda au Bomba lolote linalobeba materials kutoka sehemu moja kwenda nyingine na sidhani watakuwa wanahamisha kila sehemu kwa gari. Hivyo la kusema kiwanda cha saruji hapo hakipo. Picha zilizopigwa chini zitatupa mwanga kupata haya majengo katia 3D.
Mwisho mwacheni amalizie makazi yake na mwaka 2010 akajipumzishe pale baada ya kazi ngumu ya kujenga Taifa letu.

Tumwache akapunzike kwa kipi alichokifanya huu ufisadi anaoshindwa kuukemea,uchawi hadi bungeni, safari za nje ya nchi zilizomzidia maisha yanazidi kupanda siku hadi siku maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi ama apumzike kwa kipi?? nieleweshe mkuu

kama ni nyumba yake ayakupumzika baada ya Urais huwa inajengwa tena inakuwa wazi kila mtu anajua kuwa anajengewa nyumba na serikali.
Ninachotaka kujua hayo majengo ni yanini maana yako mengi

BANGO LA MKANDARASI LINASEMA WANAJENGA KITU GANI? KAMA NI SHULE BASI IJULIKANE NI SHULE, KAMA NI NYUMBA ZA MAKAZI BASI IJULIKANE NI NYUMBA ZA MAKAZI NDIO MAANA NIKASEMA KAMA KUNA MTU MWEUWEZO WAKUPIGA PICHA HILO BANGO ITATUSAIDIA KUJUA NI UJENZI WA KITU GANI UONAENDELEA !!
 
hivi ni adabu uwe raisi halafu baada ya miaka kuni hurudi kijijini uendelee kukaa kwenye magofu yale yale??

atumie utaratibu kama mwalimu nyerere na siyo kuliingiza taifa kwenye gharama za kijinga kwa ajili ya kustaafu kwake. nani kamwambia ataishi milele? hapa tunapita tu, bali twautafuta ule mji udumuo
 
anapata wapi mabilioni yote hayo kujenga makazi ya kifahari katika taifa maskini kama hili? Mbona nyerere hakuweza kufanya haya kwa miaka yote 24 aliyokaa ikulu? Wale waliosema jk ni nyereree na lowasa ni sokoine nielemisheni

kwanza kabisa taifa hili si maskini kama unavyo nadi pili kikwete hawezi kuishi enzi za nyerere aliyekuwa amekula kiapo cha umasikini....
 
Hivi Rais halipwi Per Diem akisafiri nje? Hizo tu si zinatosha kujenga kajumba kakiasi? Tatizo ni huku kuiendekeza usiri. Tungejua mishahara na viallowance ambayo wanalipwa pasingekuwa na sababu ya kila wakati kuhisi mabaya!
 
Hivi bado kuna watu wanajiuliza Mwungwana kapata wapi pesa? Siku ikijulikana kuwa yeye na Lowassa hawapitani kwa fedha walizojilimbikizia mtasemaje? Hivi mnadhani kwenye miradi ya madini alitoka mkono mtupu? Enzi za Mwinyi je?
 
Hiyo ni ngome yake na labda kuna mahandaki nk.
Hapo akishaingia na kujichimbia..Kumtowa labda jeshi zima...Tena itakuwa mbinde kwani eneo la pale Msoga anapojenga ni muhimu sana strategically especially millitary wise.....Akiweka rada zake pale hata kifaru kimoja akiendi hapo....Hapo patakuwa salama kuliko hata ikulu yenyewe.
Acha ajenge ngome maana wabongo pumbavu sana...Hawataweza kumwondowa madarakani na hilo analijuwa...Sana sana uasi wa jeshi na vurugu za wenyewe kwa wenyewe ndio anazofikiria namna ya kujilinda dhidi yake.
Hapo alipo ni himaya yake na kama hizo nyumba za pembeni...Basi ni za ndugu na walinzi...Hivyo kupenya hiyo ngome hapo HUWEZI.
 
Hiyo ni ngome yake na labda kuna mahandaki nk.
Hapo akishaingia na kujichimbia..Kumtowa labda jeshi zima...Tena itakuwa mbinde kwani eneo la pale Msoga anapojenga ni muhimu sana strategically especially millitary wise.....Akiweka rada zake pale hata kifaru kimoja akiendi hapo....Hapo patakuwa salama kuliko hata ikulu yenyewe.
Acha ajenge ngome maana wabongo pumbavu sana...Hawataweza kumwondowa madarakani na hilo analijuwa...Sana sana uasi wa jeshi na vurugu za wenyewe kwa wenyewe ndio anazofikiria namna ya kujilinda dhidi yake.
Hapo alipo ni himaya yake na kama hizo nyumba za pembeni...Basi ni za ndugu na walinzi...Hivyo kupenya hiyo ngome hapo HUWEZI.

Mmmmh! Mbona naanza kuhisi harufu ya hatari huko mbeleni!!!
 
..hizo point mbili zina ukweli?

..ninachofahamu ni ujenzi wa makazi yake pale, kitu ambacho ni cha kawaida.

Du! Kama ni hivyo wakuu Tanzania bado tuna safari ndefu kumpata Rais! Nilipita pale nyumbani kwake Ursino street Regent estate. Pale alikuwa na ghorofa ameibomoa na kumnunua jirani akaunganisha viwanja viwili. Sasa kuna nyumba zinaota kama uyoga na zinajengwa na Estin construction kamapuni ya daraja la kwanza ukandarasi.
hivi jamani huyu ni mtu wa namma gani ndani ya chini ya mwaka mmoja anafanya vituko vya anasa kiasi hicho! Yeye ni tembo mpaka aishi kwenye nyumba kubwa kiasi hicho?

No! No! Tanzania hatuna Rais...
 
ccm ni safi kabisa hamna ufisadi hata kidogo mambo iko huku amkamate nani sasa na yule jirani yake nasikia alihamishwa kiubabe?

He sasa unataka kusema hata mradi wa UVCCM uliomtoa kamasi Nape unamgusa!? Hivi anayejenga si ndiye analalamikiwa UVCCM?
 
Kikwete hawezi kuishi enzi za Nyerere, aliyekuwa amekula kiapo cha umasikini....

Maneno haya yataendelea kunihuzunisha moyo wangu kwa miaka kadhaa ijayo! Na yanaonyesha ni jinsi gani watanzania tunavyoendela kukua na kukomaa katika Uzumbukuku kadri siku zinavyosonga mbele!
 
Jamani mwenye picha ya hayo majengo aielete hapa JF maana picha inaongea mara 1000 ya maneno.
 
Nashukuru kwa observation yako.Hata mimi nimeyaona majengo hayo,ila nisichojua ni hela za kujenga mahekalu hayo zinatoka wapi.Tunacho-omba ni kwamba, serikali itoa tamko kuhusu majengo hayo.Ieleze wazi ni ya nani, yanajengwa kwa ajili gani na fedha za ujenzi zinatoka wapi.
 
Udaku......



masatu acha unazi..kwa kikwete hadi unakuwa kipofu....sasa hapo udaku nini..kwamba hajengi nyumba ursino migombani street????

kwamba magorofa ya lugoba hjengi...wakari mwanakijiiji aliwawekea hadi picha hapa???

kwamba subash wa MM ambae ndio yupo kati kati ya kashfa ya uvccm...sio rafiki wa karibu wa rais ....na hadi karibuni tu hapa walikuwa naye kugoba kutembelea shule aliytosoma kikwete primary...amabapo subash kwa heshima ya rafiki yake ameamu kuikarabati??

on TOP OF IT ANAMILIKI NYUMBA NYINGINE OYSTERBAY......


udaku nini????
 
je ndo hii nyumba yenyewe?....iko msoga

msoga.jpg
 
Back
Top Bottom