Pesa ya mkulima wa ufuta kimya

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
Leo tarehe 26 June 2023 tayar baadhi ya mishahara ya watumishi imeshaanza kumiminika.

Ila mkulima wa ufuta aliepeleka mazao ghalani tangia mwezi uliopita kwa mtwara na Lindi hawajaingiziwa pesa zao.

Imempasa mkulima kuuza ufuta wake Kwa cash kwa walanguzi.

Mkulima wa ufuta inabidi akope ili apate chakula kwa riba mana alichokitegemea mpaka Sasa kimnyaa.

Hii nchi ngumu Sana jamani serikali imenadi kilimo Cha tija ila kwa hali hii hakuna mwenye akili atakubali kuendelea kulima.

Wakulima wananyanyaswa Sanna nchii.

Kilimo Cha mazao ya ghalani tukimbie wazee nawapa ushauri.
 
Si ndio nyei mlio lipukwa kwa furaha, deremo kwa vifijo pale mnadani. Leo Kulikoni?
 
Back
Top Bottom