Pesa mpya

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Nilipanda gari linatoka tegeta kwenda kariakoo njiani konda akaanza kukusanya nauli,basi mama mmoja akatoa noti yake ya elfu mbili ya zamani, konda akamrudishia huyo mama shilingi elfu moja na mia tano noti mpya(hizi zilizotoka), huyo mama alivyopokea chenchi yake kuona ni noti mpya akasema "konda mimi sizipendi hizi pesa naomba unibadilishie,konda akamjibu waambie waliotengeneza wakubadilishie mimi mwenyewe napokea lakini sizipendi"watu wote kwenye gari waliangua kicheko.
 
makonda ukiwafuatilia sana utavunjika mbavu.., kuna mmoja aliulizwa na abiria anayetaka kupanda:
Abiria: Konda kunaseat humo?
Konda: seat zipo ila zote zimekaliwa na wenzako..!!
daaaaaah wote tulicheka sana
 
makonda ukiwafuatilia sana utavunjika mbavu.., kuna mmoja aliulizwa na abiria anayetaka kupanda:
Abiria: Konda kunaseat humo?
Konda: seat zipo ila zote zimekaliwa na wenzako..!!
daaaaaah wote tulicheka sana


ha ha ha ha ha ha haaa this has just made my evening
 
hahahha. hata mimi lakini sizipendi kwasababu nyingi sana ni feki...afu naona kama zinataka kuchanika vile...sijajua ni kitu gani kimewafanya hawa jamaa wazibadilishe.
 
Back
Top Bottom