People's power ya Dr Slaa kuvunja amani Tanzania?

Rais+Kikwete.jpg

Asante rev kwa kumjibu vema; kwanini kikwete anakunja ngumi?
 
Dr. Slaa atashinda Urais hapo End of October 2010 sisiemu watgeuza matokeo kupitia vibaraka wao NEC hapo ndipo moto utakapowaka ule wa Kenya mwaka juzi cha mtoto mark my words....
 
Enzi zile za ukoloni walikuwa wana slogan "Kidumu chama cha MAFISADI!" halafu watu walijibu "KIDUMU" hapa ilinyanyuliwa NGUMI, hii kumbe ilikuwa ni ishara ya vita dhidi ya watanzania wanyonge na masikini. We uliyeleta hii tafsiri ya ngumi, umetufumbua macho! Kumbe ndio walivyokuwa wakitufanyia!:smile-big:
 
kWANINI HUYU ANAONGEA KWA KUTUMIA NGUMI??

zittobudget.jpg
 
Back
Top Bottom