Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Kwa hiyo unamaanisha hapo kwenye zipu paki2na ndio panaashiria mambo mazuri? Au cjaelewa?

[MENTION]bebiwili[/MENTION]..........hujui Mtambuzi anajivunia ukomavu na ustaofu ukibanwa unaweza kupungua unene na ujasiri wa kulamba asali........LOL..........Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Achana na michupi ya mirangi bana,go for white halafu ziwe pyua cotton.
Mi bora nivae msuruali wa hovyo lakini ndani ni feel comfortable.
[MENTION]
Bishanga[/MENTION] uko kwenye mstari...............cotton ndiyo yenyewe kwa kumeza mijasho na milenda ambayo wakati mwingine huchuruzika hata huna khabari hususani ukipatwa na mshiko ambao hauna mwelekeo wa kutulizwa.........
 
Leo naona ni mambo ya wanaume, hongereni!

Boxer zawapendeza wanaume lkn
Briefs nazo zina raha yake!

Color nizipendazo ni zile za kiume na ziwe plain.
Dark blue
Dark damu ya Mzee
Na White ofcourse.
 
Ni kweli!, Lakini kutokana na utamaduni wetu ndio tumezoea hivyo...! labda kama ukitoka nje ya hapo hamna jinsi ni kuitinga tu.

Scofield............vaa boxer iwe ni soksi yako ya kumeza uchafu wote utakao maeneo nyeti kujiongezea usafi wa mwili wako............
 
Last edited by a moderator:
BAGAH kwani unayo moja tu kwa maana ya kauka nikuvae...........vinginevyo achana na hayo marangirangi mwanaumme hayahitaji

huwa nawaza siku inatokea ukaguzi huku mjini...kwenye maofisi...aisee utaona maajabu...nguo za ndani ni tatizo hasa sisi vidume...utakuta mtu juu amenyuka mbaya...ila ndani ana mtaputapu ambao hata ukirushia mbwa anaikwepa!...JOKING BUT I MEAN IT...so this is good lesson
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wakiwa vyumbani hupenda kuvaa boxer za waume zao, lakin huwezi kuwakuta wamevaa chupi za waume zao!!

Rejao...................huu utafiti uliufanya lini.....................sijawahi kusikia kitu kama hiki maishani mwangu naanza leo............
 
Last edited by a moderator:
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL

mtambuzi umeniacha hoi. jamani ebu tuwe wakweli kabla ya boxer watu walivaa nini? Vijijini watu hawavai chupi wala boxer wanakata mbuga hivyo hivyo. Ni vizuri kama una hela ukavaa, kama huna hela we twanga likaputula la babu Mtambuzi nani anakuona
 
[MENTION]huwa nawaza siku inatokea ukaguzi huku mjini...kwenye maofisi...aisee utaona maajabu...nguo za ndani ni tatizo hasa sisi vidume...utakuta mtu juu amenyuka mbaya...ila ndani ana mtaputapu ambao hata ukirushia mbwa anaikwepa!...JOKING BUT I MEAN IT...so this is good lesson
[/MENTION]
[MENTION]
Bagah[/MENTION].................utakuta tena hiyo chupi inatoa kharufu ile mbaya mbali ya kuwa ni kiji-brief................yaani tunatia aibu na hawa wadada huvumilia mengi sana
 
mtambuzi umeniacha hoi. jamani ebu tuwe wakweli kabla ya boxer watu walivaa nini? Vijijini watu hawavai chupi wala boxer wanakata mbuga hivyo hivyo. Ni vizuri kama una hela ukavaa, kama huna hela we twanga likaputula la babu Mtambuzi nani anakuona

unamtetea enhee au umependa style ya ankoli mtambuzi..
 
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali
Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu
Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike
Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana taswira ya kike
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Chupi kama kaptura hii yaitwa "Boxer"
for real men.
Chupi hiyo huficha mapaja kuashiria si lolote lile.
Chupi ya "Brief" hutukuza mapaja na haimfai dume.
Chupi ya "Boxer" kauli yake ni kuwa mvaaji ni kidume.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Kama chupi havai basi naye huyo ni kioja kitupu!
Kama chupi havai suruali kwake ndiyo chupi yake!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo jamvi!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo taulo!
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

"Boxer" ni funga kazi na mwanaumme apaswa kujivunia.
"Boxer" imeshinda hata wadada waionapo wamkubali mvaaji.
"Boxer" hujivunia mwandani wa mvaaji na hata kumzawadia.
"Boxer" ni ghali dukani lakini jipinde uinunue na kuimiliki.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme mvaaji pia!

duu kwa hyo ile harufu ndio maneno yake chupi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom