Pendekezo: Rais Kikwete mteue Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa Tume ya kutunga katiba

Katika hili sasa mnapuuzana wenyewe kwa wenyewe, mlimsifia TUNDU LISSU kwa hotuba yake juu ya mchakato wa katiba ambayo wengi tuliiona kuwa ilikuwa na lengo la kuvunja muungano na ndiyo maana wakagomea mjadala bungeni....kwa nini msimpendekeze huyo ambaye kitaaluma ni mwanasheria?
 
Sijui kama wana CDM wanakuelewa vizuri hapa maana wao wanataka kila wanachotaka wao kitekelezwe na matakwa ya wengine yapuuzwe....hii ni hatari sana.

point taken kwa ubinafsi huu katiba bora hatupati
 
How do you define someone who is not biased mkuu? Wot you said is so low, kuna national values katika hilo, next week tunasubiri mgawanyo wa daiyosisi yetu ya ziwa, tutaona dodoso juma lijalo........
Sikubaliani na hili pendekezo hata kidogo, atakuwa bias na ataweka matakwa ya cdm zaidi kwenye Katiba, we need a free and liberated person in this position ambaye si politician na wala si wakala wa ccm. Ingawa watu kama Pof. Baregu wanafaa kwenye kamati
 
How do you define someone who is not biased mkuu? Wot you said is so low, kuna national values katika hilo, next week tunasubiri mgawanyo wa daiyosisi yetu ya ziwa, tutaona dodoso juma lijalo........

Aiseeeee! nje kabisa ya mada.
 
kesi ya dr slaa pale mahakama ya manzese ya kupora mke wa mtu inaendeleaje?mwenye up dates tafadhali

mkipigwa Ban hapa hamchelewi kuanza kulia mara JF ni ya wana Chadema, usipende kuharibu mijadala kama huna cha kuchangia kua msomaji tu...
 
hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
akili zako zimekaa sehemu gani? unashuka hadhi ya kuwa nasi hapa.
 
hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
ban inakunyemelea una chuki binafsi na slaa post zako zinakuumbua.
 
Iseee, JK kasoma alama za Nyakati, hii imekaa vizuri sana tuone hao wajumbe nao itakuwaje
 
Kebehi zisizo na msingi wowote bali fikra za udini udini tu.

kebehi gani tena wajama ni pendekezo tu badala ya padri tuweke bosi wake.ukichukulia alivo mkosaji mkubwa wa namna nchi inavoendeshwa nadhani pengo anafaa
 
rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu

Ulikuwa unataka aibe mke wa nyani? Shika adabu mbele ya public figure kama Dr. Slaa, punguza kuropoka hovyo!!!
 
wasiweke mwanasiasa , mwenyekiti awe mwanataaluma , ila kuindoa ushabiki na mjadala usi base sana kwenye siasa
na kusahau mambo mengine ya kijamii..
 
Sifa za mwenyekiti ni kuwa mjuzi,mtaalamu na mzoefu wa kazi za kikatiba za kisecular sio sharia wala canon law,je slaa anakidhi vigezo hivyo?
 
hahahahahaaaaaaaaaaa Mkuu inabidi wanasiasa wote na mashabiki wao waelewe kuwa nchi hii ina watu wengi zaidi wasio wanachama wa chama chochote cha siasa.
Sijui kama wana CDM wanakuelewa vizuri hapa maana wao wanataka kila wanachotaka wao kitekelezwe na matakwa ya wengine yapuuzwe....hii ni hatari sana.
 
Mkuu Bukanga, Shalom
Nadhani katika kufikiri kwa kawaida hatuwezi kukubali Mzee Mkama katibu mkuu wa ccm kuongoza kamati ya katiba, with the same reasons hatuwezi kukubali katibu mkuu wa cdm kuongoza kamati hii muhimu sana katika taifa letu. Umesema my argument is too low but sikuona ya kwako katika hili. Anyway hiyo dayosisi mzee mmenipiga chenga manake nimebaki mmoja tu nisiyeona umuhimu wa kuigawa.
How do you define someone who is not biased mkuu? Wot you said is so low, kuna national values katika hilo, next week tunasubiri mgawanyo wa daiyosisi yetu ya ziwa, tutaona dodoso juma lijalo........
 
Back
Top Bottom