Pendekezo: Rais Kikwete mteue Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa Tume ya kutunga katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Godwine, Feb 29, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,331
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.

  SOURCE:Godwine
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 637
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Sikubaliani na hili pendekezo hata kidogo, atakuwa bias na ataweka matakwa ya cdm zaidi kwenye Katiba, we need a free and liberated person in this position ambaye si politician na wala si wakala wa ccm. Ingawa watu kama Pof. Baregu wanafaa kwenye kamati
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Nashauri amteue jaji Warioba awe mwenyekiti wa tume.
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,977
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mchakato ulianza vibaya baadaye ukaenda vizuri unanza tena kuchafua hali ya hewa. katibu wa chama anaingiaje hapa. jk kazima moto kwa kukaa na chadema huu ndio mshahara wa kikwete?
   
 5. K

  KAMANDA HANGA JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prof. Shivuji akisaidiwa na jaji Wariba
   
 6. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 20,844
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 63
  mi nashauri amweke mheshimiwa polycap pengo.ndo mzoefu
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 5,960
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  aweke wenyeviti wawili...tawala na upinzani
  Ama wanaharakati na wanazuoni wa sheria na political science
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu
   
 9. G

  Godwine JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,331
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  kama mwenyekiti ni wa upinzani katibu ni wa upande mwingine
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wariba ndio nani mkuu
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,977
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sioni mantiki
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 5,960
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Changia hoja acha kebehi...are u Mr clean?
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo sasa itakuwa katiba ya chama cha siasa sio ya nchi tena
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unawasemea watanzania au unakisemea chama chako cha siasa? Au wewe ni mwanaharakati?
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,977
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mchakato wa katiba ukiendelea kwa mwendo huu nina shaka kama tutafika.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kesi ya dr slaa pale mahakama ya manzese ya kupora mke wa mtu inaendeleaje?mwenye up dates tafadhali
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndio maana unaruka ruka hutulii.kumbe ht upstair ni vile vile
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sijui kama wana CDM wanakuelewa vizuri hapa maana wao wanataka kila wanachotaka wao kitekelezwe na matakwa ya wengine yapuuzwe....hii ni hatari sana.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe jamaa ni pumba kila siku darasa lako limejaa utata mtupu
   
 21. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #21
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika hili sasa mnapuuzana wenyewe kwa wenyewe, mlimsifia TUNDU LISSU kwa hotuba yake juu ya mchakato wa katiba ambayo wengi tuliiona kuwa ilikuwa na lengo la kuvunja muungano na ndiyo maana wakagomea mjadala bungeni....kwa nini msimpendekeze huyo ambaye kitaaluma ni mwanasheria?
   
 22. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #22
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  my take prof maina au shivji
   
 23. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #23
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  point taken kwa ubinafsi huu katiba bora hatupati
   
 24. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #24
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,462
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 48
  How do you define someone who is not biased mkuu? Wot you said is so low, kuna national values katika hilo, next week tunasubiri mgawanyo wa daiyosisi yetu ya ziwa, tutaona dodoso juma lijalo........
   
 25. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #25
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kebehi zisizo na msingi wowote bali fikra za udini udini tu.
   
 26. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #26
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee! nje kabisa ya mada.
   
 27. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #27
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkipigwa Ban hapa hamchelewi kuanza kulia mara JF ni ya wana Chadema, usipende kuharibu mijadala kama huna cha kuchangia kua msomaji tu...
   
 28. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #28
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  akili zako zimekaa sehemu gani? unashuka hadhi ya kuwa nasi hapa.
   
 29. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #29
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  View attachment 48390

  Walikwenda Ikulu, wakanywa juice, kahawa na kashata za uarabuni na maoni yao yakasikilizwa kwa kiasi kikubwa lakini bado wanaendeleza ubinafsi tu.
   
 30. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #30
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,085
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ban inakunyemelea una chuki binafsi na slaa post zako zinakuumbua.
   

Share This Page