Pendekezo kwa mabinti wanao penda kubembelezwa.

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Binti mmoja alikwenda kwa mtaalamu wa masuala ya mapenzi na mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Binti:Dokta,mimi nataka mume atakaye nipenda,atakaye nijali,nikiwa nakula awepo,asitoke ndani bali muda wote awepo kunibembeleza,atii kila nitakacho mwambia!
Dokta:Nakushauri uolewe na radio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom