Pendekezo: Joshua Nassary apeperushe bendera ya CHADEMA Arumeru

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
Wadau mimi napendekeza CDM kumpitisha J. nassary kupeperusha bendera ya chama huyu kijana yupo fiti namfahamu
 
Chama makini bila shaka kitaufuata utaratibu wake makini wa kuteua atakayepigiwa kura!!!!!!!
 
Chama makini bila shaka kitaufuata utaratibu wake makini wa kuteua atakayepigiwa kura!!!!!!!

Molemo, kaishasema chama tayari kimeishampitisha Nassary, kama mgombea rasmi wa Chadema jimbo la Arumeru Mashariki.
 
Molemo, kaishasema chama tayari kimeishampitisha Nassary, kama mgombea rasmi wa Chadema jimbo la Arumeru Mashariki.

Kama Sioi alivyopitishwa kilazima na chama cha majambazi
 
Joshua Nassari ndiye tunayemtegemea apeperushe bendera ya CDM na kama wakifanya mistake kumteua mtu mwingine huo uchaguzi hautakuwa na msisimko na wanaweza kupoteza jimbo kwa huo uzembe
 
Molemo, kaishasema chama tayari kimeishampitisha Nassary, kama mgombea rasmi wa Chadema jimbo la Arumeru Mashariki.

Molemo ni nani ndani ya CDM? Acha kutumia akili za kuokota
 
Back
Top Bottom