Pendekezo: ILi kumuezi dada Regia kiti chake apewe pacha wake

Usituletee mambo ya North Korea hapa
Alikufa Kim el Sung
akarithi Kim el Jong
amekufa Jong amerithi Kim el Un, what a pathetic succession.

CDM wanachoweza kufanya ni kumshawishi Remija aingia kwenye siasa then apande kwa kufuata ladder
walizojiwekea CDM, sio kurithishana kama magamba.
 
Kama si lazima atokee morogoro wanaweza kufuata series
Hakuna kigezo cha Mkoa. Ndio maana hata Regia kwenye orodha ni wa 11 akifuatiwa na Christowaja Mtinda (Singida) na Anna Komu (Dsm). Nafasi ya 26 yupo Sabrina Sungura (Kigoma) na 27 Rebeca Mngodo (Arusha) ambao tayari ni wabunge wakifuatiwa na Cecilia Pareso na Subira Waziri. Nadhani hawa wawili wa mwisho wapo likely kupata lakini kigezo cha familia, na upacha ni very far from reality
 
remijja alimaliza pia sua akaenda kusoma degree yake ya pili mzumbe ya utawala na pia amefanya mitiani ya utawala magogoni pia ni mtumishi wa serikali wa ngazi ya Kati.

japo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe kwamba uyo pacha wake alikuwa katibu wake na kwa ufupi alikuwa kamanda kikosi cha nyuma na ni mpanga mashambulizi.
Amen

Wewe inaekea wewe ufahamu utaratibu wa kuwapata viti maalum, majina tayari yapo tume, kinachofanyika tume watampigia simu katibu mkuu kumfahamisha jina linalofuata kwamba, kwa mfano jina linalofuata ni "X", Mtu "X" bado ni mwanachama wa chadema au? Katibu mkuu akiridhia kama ni bado wanamtambua mwanachama "X" kwamba ni chadema, hapo tunatangaziwa na tume mbunge wa viti maalum mpya wa chadema.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Si jambo la ajabu kwa Chadema.

Kwani Mbowe kawekwa na Shareholder mkubwa wa Chadema Bosi wangu Mzee Mtei. (mbowe ni mkwe wa Mtei)
Slaa amemuweka mkewe viti maalum
Ndesamburo kaweka mtoto wake Lucy owenye na mkwewe pia.
Mgombea urais mwenza kutoka Znz kamweka viti maalum mtoto wa dada yake.
Tindu kamweka dada yake.
Zitto bado mgumu na anafuata sheria hata posho kamekataa.

Si ajabu kwa Marehemu kuenziwa na pacha wake. Kwani hiyo ni jadi kwa Chadema.

Kumbukeni uongozi ni kipaji na kipawa . Si kila mtu amepewa.
 
japo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe kwamba uyo pacha wake alikuwa katibu wake na kwa ufupi alikuwa kamanda kikosi cha nyuma na ni mpanga mashambulizi.
Amen

Umetumwa nini, ili baadaye nje kuisema CDM ni chma cha kindugu, mapendekezo haya yanazingtia katiba au umetoa kichwani kwako? Unajuaje kama huyo pacha ni mwanasiasa au nataka kuwa mwanasiasa?
 
japo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe kwamba uyo pacha wake alikuwa katibu wake na kwa ufupi alikuwa kamanda kikosi cha nyuma na ni mpanga mashambulizi.
Amen

pumba!
Kwa hiyo demokrasia ni kupeana kwa upacha eh? Halafu na wewe unajiita GT?
Mi naona aenziwe kwa kutekeleza maazimio yake, mfano lile la kukusanya maoni ya wanainji humu JF.
 
Kwa mtazamo huohuo unaonaje tukiomba Madaraka au Makongoro Nyerere awe rais ili kumuenzi hayati Baba wa Taifa? Au Katiba mpya iseme kabisa kuwa kiongozi akifa basi ndugu yake wa karibu au mtoto achukue nafasi yake ili kumuenzi marehemu?.

riz1 awe rais wa TANGANYIKE?
Naoga uchi mwaka mzima...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom