Pedeshee 'Ndama mtoto wa ng'ombe' kortini kwa kutakatisha fedha

Nchi nyingine "mfanyabiashara" ni neno very respectable. Wanatengeneza ajira, wanalipa kodi, wanavumbua vitu, wanaanzisha taasisi za misaada, wanachangia mawazo kwenye ku shape trade policies za nchi, wanateuliwa au kuchaguliwa nafasi za uongozi...

Hapa kwetu ni rahisi rahisi tu kusema "mfanyabiashara maarufu" Ndama Shabani.

Ndama mfanyabiashara ana biashara gani Ndama?
 
wahujumu uchumi watambue zama hizi si zama za vicheko na maigizo ni HAPA KAZI TU toka kwa muendesha mashtaka mpaka kwa Jaji na kama haitoshi ni mpaka kwa mkuu wa gereza,huyo ndama sasa mbona atajuta majina ya kejeli na kutupa pesa live band!
 
Wamemwonea tu... Wivu tu, usikute wamebaini yupo CHADEMA ndo kosa lake hilo.
Mashtaka ya uonevu kabisa, hayana kichwa wala miguu, serikali ya kionevu Sana hii, majuzi wameachiwa kina Mulla wauaji wakubwa wa tembo, wako wapi kina chenge waliogawana mabilioni yetu wavuja jasho na kisha Kwa dharau kuita vijisenti tu.
Wako wapi wale wezi wa Tegeta ESCROW? Wako wapi wezi wa EPA?
Taifa limejaa uonevu mtupu chini ya ccm, Kama wanajua kuna wahujumu uchumi mbona kina Chenge na wenzao hawakamatwi?
Majuzi tena wabunge wa ccm wakagawana mil 10 ili kupitisha sheria kandamizi, wao si wahujumu uchumi?
Uonevu, uonevu Kwa kwenda mbele.
Ndama mutoto ya ng'ombe ni Ccm kindaki ndaki, na kipindi cha uchaguzi alinunua fulana na kofia nyingi sana akawa anazigawa
 
Huyo jamaa si ndo ilishawahi kurushwa Clip.akiwa anaosha Range Rover yake kwa kutumia creti za BIA
 
Ila papaaa moise katumbi hawatamuweza
Usimfananishe Moise Katumbi Presidential material na hawa matapeli wa kwetu utakuwa humtendei haki PDG Katumbi.

Katumbi ni kufananishwa na watu kama Bakhresa, Manji, Mo dewji na Mzee Mengi.
 
safari hii tutaona mengi ..hii ndiyo serikali bora kabisa kuwahi kutokea hawa matapeli sugu na watakatisha pesa ndo wataisoma namba vizuri ..sisi tulishazoea kula vya kihalali kitambo...
 
Back
Top Bottom