Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
May 17, 2018
358
670
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari

picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.

20210707_160429.jpg
 
View attachment 1848452
hongera sana!
Umetoa mwanga hivyo mtu akitaka kuagiza anajua pa kuanzia
Naamini umeweka magari yanayo nunuliwa kwa wingi kwa sasa hivo mtu akiwa na uchaguzi tofauti na hayo atauliza (pm)
 
Kaweka na faida kubwa ukienda beforward unapata chini ya hapo
kila la kheri boss. sisi sio mawakala wa BF pekee, tunashirikia na kampuni zaidi ya 12 zenye bei nafuu na magari yenye hali nzuri zaidi...tunachopata ni discount ambayo hii hua kama gharama za ofisi kwa sisi kubeba dhamana ya pesa yako. hesabu zote zafanyika wazi
 
Mbona kama umepanic? Naomba nikuulize maswali ya kibiashara kama hutojali kwa faida ya wote mimi, wewe na wasomaji
 
Haya magari ya mwaka gan?
hapo tulijikita zaidi kwa models zinazoagizwa zaidi na Watanzania wengi mfano IST old tunamaanisha ya mwaka 2002 mpaka 2005, BMW X3 twamaanisha ya 2003 mpaka 2007, Volvo XC 90 twamaanisha ya 2003 mpaka 2007. Tukisema Passo twamaanisha ya 2004 mpaka 2007 n.k
 
kila la kheri boss. sisi sio mawakala wa BF pekee, tunashirikia na kampuni zaidi ya 12 zenye bei nafuu na magari yenye hali nzuri zaidi...tunachopata ni discount ambayo hii hua kama gharama za ofisi kwa sisi kubeba dhamana ya pesa yako. hesabu zote zafanyika wazi

Hata kama mmeweka faida, bado bei zenu ni rafiki mno. Of course lengo la biashara yeyote ile ni kupata faida.

Pili, kuna swali ameuliza mhenga mwenzangu Smart911 kwamba hizo gharama mtu akilipa ndio anasubiria akabidhiwe funguo na mchuma aondoke nao ukiwa full masinonda?

Mwisho, IST Urban Cruiser inaweza kupatikana kwa kiasi gani? Gharama zote hadi nakabidhiwa funguo?
 
Back
Top Bottom