Pcm na udaktari inawezekana?

acha mbwembe,wa wapi wewe? Au unataka kulingisha hyo 7 yako BBC? Je sie 2liopiga 3 enzi hzo tusemeje?
 
unaweza kusoma vyuo binafsi kama KCMC, IMTU au St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) kama biology o-level ulipata C na kuendelea lakini kwa Muhimbili sahau. Kwa mfano IMTU criteria ni "At least two principal level passes in Biology, Chemistryand either Physics orMathematics". Kwa mantiki hiyo ni kuwa unaweza kuwa na principle mbili ya Biology na Physics au Chemestry na math. Wao KCMC wamekuwa liberal zaid maana wao wanataka principle tatu kutoka masomo yoyote ya sayance "Three principal level passes in any science subjects"
Kwa msaada zaidi check na TCU guide book
 
Back
Top Bottom