Inawezekana
Inawezekana kama form four ulikuwa umesoma physics na ulifaulu pia ikizingatiwa kwamba masomo mengine pia ulifaulu walau kwa ufaulu unaohitajika, kitu kingine kwanin ulisoma EGM na kwanin sahivi tena unataka PCB? Kwanin upoteze mda hivyo kasome clinical medicine miaka 3 kisha baadae utakula MD miaka 5 kuliko kurudi advance maana unaweza kurudi ukachemka piaWanajamii naombeni kuuliza, nilisoma mchepuo wa EGM nikamaliza shule
Sasa nataka nikaanze masomo ya Udaktari. Je, naweza kwenda tena kusoma advance mchepuo wa PCB ili niweze kwenda udaktari?
Inawezekana kama form four ulikuwa umesoma physics na ulifaulu pia ikizingatiwa kwamba masomo mengine pia ulifaulu walau kwa ufaulu unaohitajika, kitu kingine kwanin ulisoma EGM na kwanin sahivi tena unataka PCB? Kwanin upoteze mda hivyo kasome clinical medicine miaka 3 kisha baadae utakula MD miaka 5 kuliko kurudi advance maana unaweza kurudi ukachemka pia
Ushauri mzuri kapewa. Uzi umefungwa.Kasome Clinical Medicine 3yrs then kula Bachelor degree! Utanishukuru!