PCM na PCB ipi iko fresh in case of ajira hapa tz?

Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
CHUKUA PCB, hutajuta milele, ukichukua PCB, ukihitimu, form six, ukichaguliwa chuo kozi za afya utasoma bila stress, Na ukimalza tu form six, apply Nursing, Medicine, Medical Lab, au evironmental Health, na kuna kozi zingine nyingi tu ambazo ukihitimu tu ajira zpo both government and private, na wuzara ya afya yenyewe iko makini sana na kuna baazi ya vyuo kama St Joseph hiyo Engineering waweza kusoma, achana na PCM, kozi zake za chuo, nyingi ni outidated kwa Tanzania, labda Mechanical, Electrical, Biomedical na Civil kwa mbali ambao TARURA inawaokoa, lkn kozi zingine ambazo PCM huwa wanazichagua baada ya kuhitimu form six, mfano Enviromentak Engineering, telecom engineering, mining engineering, chemical engineering, mineral process engineering, n.k hazina ajira yoyote na sehemu wnazo ajiri ni chache sana, makampni ni finyu. Ukisoma mfano PHAMARCY au MEDICINE ndio kozi rahisi kujiajilo even hata medical laboratory, ni kozi nyepesi kujiajili na unapiga pesa nyingii, kira la heri PCM NI SIFA TUUU, HAINA FUTURE, MA TO KOBAO WALIO SOMA PCM WAKO MTAANI TU, ULISHA WAI KUSKIA TO WA PCB YUKO MTAANI
 
PCB imekaa poa sana... kibongobongo Afya bado inataka watu wengi mana kila cku matajir na serikal zinajenga hospital mwanangu
 
Yaani A level kuchaguliwa tu umeshaaanza kuulizia ajira

Kumbuka kuna degree kibao mtaani

Ondoa kitu kuajiliwa jiandae kujiajiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom