PCCB Wamemaliza Interview leo trh 14/03/2014

Z Nyenza

Member
Sep 22, 2013
77
29
Kwa wale waliofanya interview PCCB leo ndo wamemaliza kuwahoji watu kwenye kumbukumbu yangu ndo kwanza kushuhudia interview nyenye watu wangi ukianzia na ile APTUTIDE TEST na nikishuhudia muda mrefu wa interview kwenye kwenye mtihani wa mahojiano maana ulianza trh 03/02/2014 mpaka leo trh 14/03/2012 takribanini mwezi mzima sasa............wadau kwa waliofanya jamaa mnawaonaje
 
kwa wale waliofanya interview PCCB leo ndo wamemaliza kuwahoji watu kwenye kumbukumbu yangu ndo kwanza kushuhudia interview nyenye watu wangi ukianzia na ile APTUTIDE TEST na nikishuhudia muda mrefu wa interview kwenye kwenye mtihani wa mahojiano maana ulianza trh 03/02/2014 mpaka leo trh 14/03/2012 takribanini mwezi mzima sasa............wadau kwa waliofanya jamaa mnawaonaje
Wewe kwani tatizo lako nini tulia subiri simu acha presha
 
Watu wameshapigiwa simu tangu ijumaa na kuanza kupewa taarifa za mwanzo za maandalizi ya mafunzo miezi 3 hadi minne
 
Watu wameshapigiwa simu tangu ijumaa na kuanza kupewa taarifa za mwanzo za maandalizi ya mafunzo miezi 3 hadi minne
unauhakika halafu naomba niulize hivi kwa taasisi kama ileya serikali au yoyote ila ya serikali itatumia njia za kukugia cm kweli na vp kama hautakuwa hewani kwa kipindi hicho ambacho wao wanakutafuta maana mm nadhani private ndo wanaweza kukupigia cm wakikukosa wanaangalia mwingine
 
Hivi Pccb watatupigia cm au sijaelewa
sijui ila najiuliza kama itatumika njia ya kukupigia cm vp iwapo kama hautakuwa hewani kwa kipindi ambacho wanakutafuta kwani website yao itakuwa na kazi gani maana ni swala ya kuyapachika tu
 
Wadau kwa wale 2lio apply UHAMIAJI/ MIGRATION usaili bado tuu au ndo majanga?
kihusu uhamiaji bado kimya sana ila story za mjini kwa walioaply ni nying na ukizisikiliza zinaweza kukukatisha tamaa hivyo ni vyema uvute subira tuone kitatokea nini?
 
Uliza mwaka 2011 waliajiri pia baada ya interview watu walipigiwa cm
kwa hiyo kama swala ni kukupigia cm vp wakikutafuta wakakukosa ndo bahati imeondoka hiyo au huwa wanafanyaje kwa organization yoyote ile ya serikali
 
Back
Top Bottom