pc solution

Haitengenezeki mkuu nunua Kioo kingine hapo hakuna jinsi tena. I mean replace na kioo kingine
 
hapo ni kununua kioo kingine... na uwe muhangaikaji kwelikweli... mafundi wengi wanarange kwenye laki 2.5 hadi 150 kwa vioo vya lcd... mi ya kwangu ilinihangaisha thank god jana nimepata kwa 120
 
waone Terra byte computer ltd pale Agrey KARIAKOO au piga 0716441534 jibu lipo hapo computer yako imeshatengemaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom