Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,009
- 785
Unajivunjia heshima ndugu!!!!!!!Kwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana
Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu Paul Makonda awafikishe Watanzania Canan
Kwako Lucas 😂😂😂