Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hili la wageni kuchajiwa zaidi kwenye bidhaa na huduma tofauti na mzawa kwangu naona ni kama ubaguzi labda kama mimi ndo sielewi.
Kwani ukienda ulaya huwa pana bei mbili? Ya mgeni na mwenyeji kama hapa bongo
 
Makonda kwa kuongea na kupanga tu, anaweza kweli kweli...

Lakini, baada ya muda jaribu ku-quantify matokeo ya vitu vyote anavyovitaja, hakuna matokeo...
Huo ubabaishaji alikuwa akifanyia Dar jiji kubwa mambo mengi watu ni rahisi kusahau sasa Arusha ni kama kiganja cha mkono, analolisema leo lisipoonekana miezi mitatu au minne watu watamtupia vilago vyake.
 
Natumai wote wazima kabisa
Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya Mwanza au dar baadae ataulamba, uwaziri mkuu au mambo ya ndani
Ni mawazo yangu msinipopoe mawe
Inawezekana, nchii hii haikosi surprises na maajabu yake.
 
Natumai wote wazima kabisa
Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya Mwanza au dar baadae ataulamba, uwaziri mkuu au mambo ya ndani
Ni mawazo yangu msinipopoe mawe
..
 
Attachments

  • photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
    photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
    53.4 KB · Views: 2
Natumai wote wazima kabisa
Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya Mwanza au dar baadae ataulamba, uwaziri mkuu au mambo ya ndani
Ni mawazo yangu msinipopoe mawe
Ikiwa hivyo si atamroga Rais afe ili awe Rais yeye
 
Mwenzako anatafutiwa mlango wa kutokea maana wameona bado ana umagufuli ndani yake,akifika mwaka huo 2025 bila mkeka wa zuhura unaosema atapangiwa kazi nyingine,ashukuru
 
Natumai wote wazima kabisa
Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya Mwanza au dar baadae ataulamba, uwaziri mkuu au mambo ya ndani
Ni mawazo yangu msinipopoe mawe
Atakaye kutukana kwa mawazo yako 'yakinifu' nitapita naye.
 
Natumai wote wazima kabisa
Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya Mwanza au dar baadae ataulamba, uwaziri mkuu au mambo ya ndani
Ni mawazo yangu msinipopoe mawe
hujakosea kwenye hayo mawazo yako kuna mambo mawiri au moja litakua sahihi.
 
Natumai wote wazima kabisa
Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya Mwanza au dar baadae ataulamba, uwaziri mkuu au mambo ya ndani
Ni mawazo yangu msinipopoe mawe
Upo Sawa mkuu na kwa sasa ndani ya ccm mtu pekee mwenye ushawishi aliyebakia ni makonda nadhani hata 2025 kama ccm wanahitaji kubaki madarakani

Basi wampitishe makonda jiwe kuu walilo likataa waashi kama mgombea Uraisi wa ccm, ninyota inayo ng'ala kaskazini kijana mwenye ujasili na uthubutu

Ni makonda pekee ndio wa kuirudisha heshima na nizamu kwa watumishi wa serikali lakini pia angalau kidogo ndie mzalendo mwenye uwezo wa kuzibiti ufisadi na pengine lipoti ya CAG inayosomwaka kila mwaka inaweza kuleta maana ikiwa tu makonda atakuwa Raisi
 
Mwenzako anatafutiwa mlango wa kutokea maana wameona bado ana umagufuli ndani yake,akifika mwaka huo 2025 bila mkeka wa zuhura unaosema atapangiwa kazi nyingine,ashukuru
Natofautiana na wewe huyu tangu 2020 alikuwa nje ya mfumo
Kwanini walimvuta tena na kumpachika kwenye mfumo?
Na ninajiuliza nani yuko nyuma yake au ana nini cha mno kwa sababu anaonekana kuwa na nguvu sana
 
Upo Sawa mkuu na kwa sasa ndani ya ccm mtu pekee mwenye ushawishi aliyebakia ni makonda nadhani hata 2025 kama ccm wanahitaji kubaki madarakani

Basi wampitishe makonda jiwe kuu walilo likataa waashi kama mgombea Uraisi wa ccm, ninyota inayo ng'ala kaskazini kijana mwenye ujasili na uthubutu

Ni makonda pekee ndio wa kuirudisha heshima na nizamu kwa watumishi wa serikali lakini pia angalau kidogo ndie mzalendo mwenye uwezo wa kuzibiti ufisadi na pengine lipoti ya CAG inayosomwaka kila mwaka inaweza kuleta maana ikiwa tu makonda atakuwa Raisi
Hivi ni nani aliye nyuma ya Makonda?
 
Back
Top Bottom