Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 4,547
- 4,295
Hata hao wazao wa Ibrahim wenyewe walishaachana na hizo mambo za kumsubiri messiah wa kuwapeleka Kanan. Wanajipeleka wenyewe. Yaani wanaisaka njia wenyewe kwa teknolojia, jasho na damu tu huku wakipanga na kupangua viongozi wao kwenye boksi la kura kwa kadiri wanavyojisikia. Hizo porojo za "wazalendo" wamemuachia kiduku mwenye kazi ya kulinda legacy ya ukoo wa Kim.Kwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana
Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu Paul Makonda awafikishe Watanzania Canan
Kwako Lucas ๐๐๐
Tumerudi nyuma sana!
Halafu John, tafuta darasa makini uelimishwe maana hasa ya "itikadi; ideology". Nimeanza kuamini kuwa inawezekana ikawa kweli kuwa na wewe una uelewa ziro kama ilivyo kwa watanzania wengi.