Paul Makonda na Mawazo ya kuua CHADEMA na hofu ya Tundu Lissu

Inasaidia nini sasa.

Kauli za jana za huyu mwenezi wa CCM kuwa Mbowe akikosa mafuta ya chopa wao CCM watamchangia inatia ukakasi.

Kwa nini tuchangiwe na wezi wa mali za umma?

Hii inaleta picha kuwa kumbe chini ya kapeti kuna siri kubwa.

Kuwa kumbe CCM wanatudhamini ili kufanya mikutano na kuzunguka nchi nzima ili kuhadaa wazungu kuwa nchini kuna demokrasia.

This is non sense.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Ukimuona Paul Makonda bado ana mawazo yale yale ya kuua upinzani na kumuogopa Tundu Lissu ,Ni mawazo ambayo mwenyekiti wetu wa ccm marehemu JPM yalimshinda na hata yeye Paul Makonda hataweza kuua upinzani Tanzania

Tulishasahau mambo ya wasiojulikana kwa miaka takribani mitatu ndani ya ccm na Tanzania ,Ujio wa Makonda na hotuba yake ya vitisho kwa mawaziri kuwa ata deal nao siyo ya kupuuzwa hata kidogo kwa sisi wana ccm

Mamlaka hayo ya kuingilia kazi za serikali anayatoa wapi na kwenye katiba ipi ?

Je,Paul Makonda anataka kuturudisha nyuma watu wasio na taaluma kuvamia hospitali na kuwaelekeza madakatari jinsi ya kutibu wagonjwa?

JPM alijaribu kila mbinu na kweli watu waliumia na kuumizwa lakini Chadema haikufa na wala upinzani hautakufa

Paul Makonda kwa hotuba yake ya jana pale lumumba wakati wa mapokezi ilitusikitisha na kutushangaza wana ccm wengi

Hotuba ya Paul Makonda ilionyesha bado ana maluwe luwe ya Tundu lissu na ana hofu nae sana hakusita kumtaja Tundu lissu

Paul Makonda anasema ata deal na wanaosababisha taarifa kuvuja na sio kudeal na mtoa taarifa yaani Tundu Lissu

Watu wa namna ya Makonda ambao bado wanaamini kwenye siasa za fujo na siyo kujibu hoja hawatufai ndani ya ccm

Chama cha mapinduzi tulijifunza ubabe wa akina Sabaya na genge lake wakijificha nyuma ya mamlaka

Paul Makonda anatengeneza hofu na vitisho kwa wana ccm akijificha nyuma ya mamlaka pia.

Ni vyema Paul Makonda akadhibitiwa na chama mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi
Punguza hofu zisizo na msingi

Tanzania hakuna upinzani kuna watoa taarifa
 
makonda kapata baraka zote za samia kutamka yale aliyotamka.

lawama zote abebeshwe yule mama wa kizimkazi.
 
Amewekwa kwa makusudi hayo tu
Haihitaji mawazo mapana kulijua hili
Watu wa hivyo wanatakiwa na hao wakubwa ili walindwe huku wakijigawia kipande kikubwa zaidi cha 🥮 na nyie mkila makombo, tena kama mtapata
 
Huyu ameletwa makusudi na watawala ili kuondoa "public attention" katika sakata zima la uwekezaji wa DP World katika uendeshaji wa bandari. Ilipawasa kutafuta "timing" ya hali ya juu ili waweze kusaini mikataba mitatu ya awali ya HGA ili kuepuka "public censure"

Ukichunguza mlolongo wa matukio, utabaini kulikuwa mkakati umepangwa ili matukio fulani yatokee kwa pamoja, ili watu wajikite katika mijadala tofauti tofauti. Tunaona maaskofu wa TEC wakialikwa ikulu pasipo kujaa agenda iliyokuwapo nyuma ya wito wao, huku Mrisho Mpoto akiwananga juu ya uwepo wao, huku likija sambamba na uteuzi wa Bashite.

Hawa ndiyo aina ya watawala tuliokuwa nao hivi sasa, wanazungumza lugha laini lakini masharti ya IGA yapo palepale. Wako tayari kuiza nchi kwa ajili ya maslahi yao binafsi, wako tayari kuwapa kitu kibovu ili kukwepa kujibu hoja, na wajikite kujadili "non-issues"

Twende Kusini ama Kaskazini, Mashariki ama Magharibi, lakini hoja huu ya maudhui yenye utata yaliyopo katika IGA ni lazima yajadiliwe. Wananchi hawapaswi kuwa "derailed" na mijadala mipya ambayo imepikwa kimkakati kwa malengo maalum ya kuwaondoa watu kwenye hoja.
Umewaza mbali sana. Hongera kwa kuliona hili.
 
Ukimuona Paul Makonda bado ana mawazo yale yale ya kuua upinzani na kumuogopa Tundu Lissu ,Ni mawazo ambayo mwenyekiti wetu wa ccm marehemu JPM yalimshinda na hata yeye Paul Makonda hataweza kuua upinzani Tanzania

Tulishasahau mambo ya wasiojulikana kwa miaka takribani mitatu ndani ya ccm na Tanzania ,Ujio wa Makonda na hotuba yake ya vitisho kwa mawaziri kuwa ata deal nao siyo ya kupuuzwa hata kidogo kwa sisi wana ccm

Mamlaka hayo ya kuingilia kazi za serikali anayatoa wapi na kwenye katiba ipi ?

Je,Paul Makonda anataka kuturudisha nyuma watu wasio na taaluma kuvamia hospitali na kuwaelekeza madakatari jinsi ya kutibu wagonjwa?

JPM alijaribu kila mbinu na kweli watu waliumia na kuumizwa lakini Chadema haikufa na wala upinzani hautakufa

Paul Makonda kwa hotuba yake ya jana pale lumumba wakati wa mapokezi ilitusikitisha na kutushangaza wana ccm wengi

Hotuba ya Paul Makonda ilionyesha bado ana maluwe luwe ya Tundu lissu na ana hofu nae sana hakusita kumtaja Tundu lissu

Paul Makonda anasema ata deal na wanaosababisha taarifa kuvuja na sio kudeal na mtoa taarifa yaani Tundu Lissu

Watu wa namna ya Makonda ambao bado wanaamini kwenye siasa za fujo na siyo kujibu hoja hawatufai ndani ya ccm

Chama cha mapinduzi tulijifunza ubabe wa akina Sabaya na genge lake wakijificha nyuma ya mamlaka

Paul Makonda anatengeneza hofu na vitisho kwa wana ccm akijificha nyuma ya mamlaka pia.

Ni vyema Paul Makonda akadhibitiwa na chama mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi
Samia amebugi big time
 
Back
Top Bottom