Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Atamoderetiwa tu..!!
download (31).jpeg
images - 2023-10-22T145558.504.jpeg

Sio raisi kuwa moderated !! Kuna wengine Wana visasi visivyoisha
 
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!

====

Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
Sio tetesi tena ni kweli Ila na yeye hatokaa mda mrefu atapangiwa kazi nyingine mshauri wa rais upande wa Maendeleo ya pembejeo na BTT za kilimo,
 
Back
Top Bottom