Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,277
- 31,409
Dream ime-come true..!!Ni ndoto Samia kumrejesha kwenye system mtu aliyetajwa na marekani kuwa ananyima watu haki ya kuishi.
Dream ime-come true..!!Ni ndoto Samia kumrejesha kwenye system mtu aliyetajwa na marekani kuwa ananyima watu haki ya kuishi.
Dunia inaendelea kuzunguka tuAcha bwana. Haiwezekani Paul akae na kina Kinana kabisa. Anyway, never say never.
Vipi nikajua nafasi yako hii Lucas?Hongera sana mzee John kwa utabiri wako na hatimaye yametimia siku ya leo.akija Iringa mpeleke hadi kule makanyagio kule MUCE,kangilonga.mtuvila,Don boscco ,n.k😄😄😄
Atamoderetiwa tu..!!Sasa kina GSM itakuwaje- maana Wasie mtaka kaja😁Wapi Riz Moko!!
Mzee Mgaya umetisha sana. Tetesi yako imekuwa kweli.Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.
Ngoja tuone!
====
Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
Msindikize DOMBWELA kurudisha kadi..!! Maana alitema povu la foma gold..!!Lini warudishe nikusaidie
Haya sasaHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Atamoderetiwa tu..!!
Ni rahisi tu..!! Mteuliwa yeyote huwatwa na jeuri pale tu aliyemteuwa anasapoti vitendo vya mteuliwa. Kuwamoderate haimaanishi mtu hata kama amefanya kosa basi aachwe..!!View attachment 2789184View attachment 2789185
Sio raisi kuwa moderated !! Kuna wengine Wana visasi visivyoisha
Wateuawane, anae teua pia sikumchagua.We endelea kujiuliza huku wenzio wanaendelea kuteuana bila vyeti
Wanafiki mmeanza kupita mbele. Mbona hukumtetea wakati post inaandikwa?Aweze au asiweze, ndo kawa tayari
Sio tetesi tena ni kweli Ila na yeye hatokaa mda mrefu atapangiwa kazi nyingine mshauri wa rais upande wa Maendeleo ya pembejeo na BTT za kilimo,Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.
Ngoja tuone!
====
Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
AiseeZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Mama tunafanyaje sasa 🥴🥴, jamaa tayari amefika na amepewa kiti.Huyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Duh, sasa itakuaje, maana yametimiaHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Unasemaje????.....John ebu uwahi kanisani wakuombee, hata hujui CCM kiundani kumbe...
Mama Samia, Raiz wetu, hawezi fanya huo uteuzi wa kijinga hivyo, hata milele yote.
Wanastahili na ndio maana wanastahili na kila mmoja wetu anatambua uwezo mkubwa alio nao mh Paul makonda.moto lazima uwake na upinzani lazima wakalale na viatu mwaka huu na kubakia wakichungulia madirishani.Lucas mwashambwa unaona wenzako wanavopata shavu bila uchawa
Ndugu yetu rudisha tu kadi yao, yule kibaka kashapewa rungu.Zamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.