Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Hongera sana mzee John kwa utabiri wako na hatimaye yametimia siku ya leo.akija Iringa mpeleke hadi kule makanyagio kule MUCE,kangilonga.mtuvila,Don boscco ,n.k😄😄😄
 
Paul makonda nnamkubali sana


Yawezekana ana mapungufu yake ila nnamkubali sana makonda
 
John ebu uwahi kanisani wakuombee, hata hujui CCM kiundani kumbe...

Mama Samia, Raiz wetu, hawezi fanya huo uteuzi wa kijinga hivyo, hata milele yote.
Keshateuliwa....
Kuna picha zilikuwa zinazagaa huenda...
 
Kule identity za watu zinajulikana hivyo facts ndizo zinaandikwa. Hapa ni takataka tupu kutoka kwa watu takataka with some few exceptions
😂😂😂😂😂
Upo JF ambayo inatuhumiwa kuwa imesheheni takataka..!! Mpaka hapa, takataka ishajulikna. BTW, unajisikiaje huko uliko??? Muwe mnaweka akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom