Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM.....

TAHILISO, namshukuru Mungu sina connection tena na hii taasisi, i graduate a year back,
PAUL MAKONDA mwanzilishi wa CCJ leo amehamia tahiliso, duhhhhhhh yaan huyu jamaa ni kilaza cjapata ona halafu lazma ana watu wanamback coz hapo MUCCoBS jamaa kashadisco saaaaaaaaana tu halafu still anasoma I DON GET THE POINT HERE, kuna ile sheria ya kwamba mtu aki disco anatakiwa ake/ ajiulize for atleast muda kidogo mdo aapply tena chuo,
MASKINI TANZANIA NA CCM YENU, MWISHO WA YOTE HUYU JAMAA ANAKUJA KUA KIONGOZI WA SERIKALI SA TUTAKUA NA NCHI AU KICHAKA CHA VILAZA HAPA.
am out
 
wote ovyo cjui tahliso cjui mkubox cjui chuo gan. badala ya kuajadil mfumo wa kuleta pesa chuon na proces zake za kusain znavyo chelewesha. upuuz nyie watu mucobs mnaleta siasa.piga chni ovyo
 
Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO. Paulo makonda ambeye pia ni kada maakini wa ccm ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana anavuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia. Nani kama MAKONDA???
Nimejaribu kuwa ni kwa nini Tanzania kuna uongozi mbovu na Taifa linazidi kurudi nyuma kumbe sababu ni kuchagua viongozi toka kwaenye chama ambacho huwa mara zote kinatetea madudu ya Serikali, yani hakina ushauri wowote wa KIHARAKATI za kuleta maendeleo bali kuangalia maslahi binafsi. Hivi hawa jamaaa kwa nini walimchagu huyu kada wa CCM ambaye chama chake ndio kinawatwisha Vijana wa Kitanzania Gunia la misumari???
 
wote ovyo cjui tahliso cjui mkubox cjui chuo gan. badala ya kuajadil mfumo wa kuleta pesa chuon na proces zake za kusain znavyo chelewesha. upuuz nyie watu mucobs mnaleta siasa.piga chni ovyo

Ukiwa una tatizo la njaa.... msaada wa dhati utakouhitaji ni chakula.
tatizo lako si tatizo la wengine...
Halafu ACHA kufupisha maneno kama unamwandikia mpenzi wako meseji.
 
Nafikiri hili jamvi ni la watu makini na twapaswa kujadili hoja na sio watu;tumepewa taarifa kuwa makonda ndie rais wa TAHILISO humpend sawa hutabadili hilo,na sioni ukilaza wa MUCCOBS kwan nanyi wengine si mlipeleka wawakilishi ambao nao waligombea nafas husika?km ndivyo vilaza mwaweza kuwa ninyi mliopeleka watu ambao walishndwa kutoa upinzan wa dhati kwa ndg Makonda.

LONG LIVE MUCCOBS,CONGRATULATION MR MAKONDA.
 
Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO. Paulo makonda ambeye pia ni kada maakini wa ccm ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana anavuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia. Nani kama MAKONDA???
Hivi siku hizi KATIBA YA TAHILISO imebadilika? kwani kipindi tunaiazisha ilikuwa ni lazima uwe Rais wa Chuo Kimojawapo ndipo ugombee, vipi siku hizi mtu yeyote anatruhusiwa kugombea Tahiliso?
 
Pelekesheni upumbavu wenu huko nyie vilaza wa muccobs.wenzenu huku tunawaza ni jinc gan ndugu zetu waliokosa mikopo watakavyo pata hyo mikopo,nyie ndo mnawaza upuuzi tu,ndo maana hata mkasoma vyuo vya ajabu ajabu eti.

Acha upuuzi wako wa ubaguzi wa vyuo. UDSM ilikuwa zamani siyo ya ss iv ya vilaza kama ww.
 
S
TAHILISO, namshukuru Mungu sina connection tena na hii taasisi, i graduate a year back,
PAUL MAKONDA mwanzilishi wa CCJ leo amehamia tahiliso, duhhhhhhh yaan huyu jamaa ni kilaza cjapata ona halafu lazma ana watu wanamback coz hapo MUCCoBS jamaa kashadisco saaaaaaaaana tu halafu still anasoma I DON GET THE POINT HERE, kuna ile sheria ya kwamba mtu aki disco anatakiwa ake/ ajiulize for atleast muda kidogo mdo aapply tena chuo,
MASKINI TANZANIA NA CCM YENU, MWISHO WA YOTE HUYU JAMAA ANAKUJA KUA KIONGOZI WA SERIKALI SA TUTAKUA NA NCHI AU KICHAKA CHA VILAZA HAPA.
am out
Shame on You!
 
U said 6 years ago and now is happening [HASHTAG]#prediction[/HASHTAG]
Acheni mzaha na taifa hili.

Lini Makonda aliwahi kupigiwa kura na wananchi akashinda?

Kweli uko serious unataka Makonda awe Rais wako?

Hivi vyeo vya kupewa kama fadhila baada ya kulamba viatu vya wanasiasa fulani na kufanikisha malengo yao visiwafanye mvimbe vichwa!
 
Kwa maelezo ya mkuu hapo juu ni kwamba makonda ameandaliwa kuja kuwa kiongozi na kweli tunaona leo
 
TAHILISO, namshukuru Mungu sina connection tena na hii taasisi, i graduate a year back,
PAUL MAKONDA mwanzilishi wa CCJ leo amehamia tahiliso, duhhhhhhh yaan huyu jamaa ni kilaza cjapata ona halafu lazma ana watu wanamback coz hapo MUCCoBS jamaa kashadisco saaaaaaaaana tu halafu still anasoma I DON GET THE POINT HERE, kuna ile sheria ya kwamba mtu aki disco anatakiwa ake/ ajiulize for atleast muda kidogo mdo aapply tena chuo,
MASKINI TANZANIA NA CCM YENU, MWISHO WA YOTE HUYU JAMAA ANAKUJA KUA KIONGOZI WA SERIKALI SA TUTAKUA NA NCHI AU KICHAKA CHA VILAZA HAPA.
am out
Ndio kashakuwa kiongoz sasa
 
Back
Top Bottom