Paul Makonda awavuruga CHADEMA hata kabla hajashika maiki na kuunguruma

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika CHADEMA wamepigwa na kitu kizito kwelikweli kichwani mwao kilichopelekea kuvurugika akili zao. Uteuzi wa komandoo Makonda umewapiga sindano ya ganzi na kupooza miili yao na akili, kujawa na hofu na uoga wa hali ya juu sana.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa CHADEMA nzima haina mtu wa kuweza kupambana na Makonda jukwaani na mahali popote pale. Ndio maana unaona namna wanavyohangaika na jina la Makonda hata kabla hajafungua kinywa chake kuunguruma na kuzungumza.

Wanatambua Makonda ni silaha ya maangamizi kwa hoja dhaifu na siasa za matukio walizozizoea CHADEMA kutembea nazo. Sasa kwa Makonda ndio mwisho wao,n dio mwisho wa pumzi yao iliyokuwa imesalia katika mtungi wa hoja zao dhaifu.

CHADEMA wanajuwa komandoo Makonda ni jasiri, shupavu, madhubuti, imara na hodari sana wa siasa hapa nchini. Wanajuwa nguvu kubwa ya kihoja aliyonayo Makonda, wanajua ushawishi alionao na namna alivyo maridadi na hodari katika kupanga mipango mikakati ya ushindi katika vita na mapambano ya kisiasa.

Wanajua jina tu la Makonda ni kampeni na ushindi tosha, ndio maana tangia ameteuliwa muda wote wanamjadili kwa hofu na uoga, wanajuwa Makonda ni mkubwa kuliko kamati kuu yao yote.

Wanasema ukiona adui yako analia lia juu ya silaha unazotumia basi jua ameshaona kiama na mwisho wake, ameshaona kuwa hana uwezo wa kusimama nawe katika uwanja wa mapambano. Sasa CHADEMA wameshajua kuwa wanakwenda kupoteza mapambano yote mbele ya legendari Paul Makonda.

CHADEMA endeleeni kutulia hivyo hivyo na msijifaye mmekuwa washauri wa CCM au kujifanya mnaipenda sana CCM kwa sasa. Sahauni ushindi wa aina yoyote ile katika uchaguzi wowote ule na wa ngazi yoyote ile maana mnamfahamu vyema Makonda kuwa ni mtu wa kazi juu ya kazi, mguu kwa mguu mpaka kieleweke.

Tafuteni ajenda na siyo kurukia vimatukio vya kupita, maana mtaumia sana mbele ya CCM hii ya Rais Samia iliyojaa manguli na wabobezi wa sayansi ya siasa na wenye mipango ya kisayansi kwa kila jambo.

Oneni namna suala la Bandari mlivyoangukia pua baada ya serikali kuja na mkataba ulio pongezwa na kila mtu kutoka kila pande ya nchi yetu na kupokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania.

Sasa wameanza kuhamisha magoli kwa kusema eti mkataba uwekwe hadharani pasipo kutuambia ni wapi Duniani ambako mikataba ya kibiashara na kiuwekezaji huwa inawekwa hadharani kama nguo za mtoto.

Hiyo yote ni baada ya kuishiwa hoja na ajenda hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa CHADEMA hainaga ajenda inazosimamia zaidi ya kudandia vimatukio ambavyo hutupiwa kama mfupa ili kuwavuruga, hasa kwa kutambua ukweli kuwa CHADEMA ni mkusanyiko wa watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na kuelewa mambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

CDM HATA ISIPOSHINDA UCHAGUZI WOWOTE ILI MRADI WAPO KWENYE SIASA ZA NCHI HII CCM HAWTAPUMUA HATA KUDOGO.
 
Hata kama huna akili unaanzia wapi kuwaamini Marekani katika suala la kutoa tuhuma dhidi ya mtu au kikundi au taasisi au Nchi? Marekani hao hao kwa hila si ndio walisema kuwa Saddam Hussen ana silaha za maangamizi? Je uliziona hizo silaha? Walizikuta ? Walizionyesha kwa Dunia? Marekani hao hao si ndio waliongoza vita vya kumuua Gaddafi kwa uongo kuwa anaua watu wake na ni dikteta? Je tuhuma hizo ni kweli? Je watu wameachwa kuuwawa kinga? Utulivu na amani vipo tena? Hukusikia obama akijuta juu ya jambo hilo kuwa walikosea? Saudi Arabia haikumuua muandishi wa habari katika ubalozi wake? Je Marekani alichukua hatua gani?

Usiifanye akili yako kama dodoki kwa kumezeshwa kila kitu na kuimba kama likasuku bila kuchambua wala kutafakari.
"Usiifanye akili yako kama dodoki kwa kumezeshwa kila kitu na kuimba kama likasuku bila kuchambua wala kutafakari".

Naona umeamua kujisema mwenyewe.
Kumbe unatambua kuwa unaimba kama likasuku bila kuchambua wala kutafakari!!??
Narudia tena,nenda Mirembe ukapimwe afya ya akili ili upatiwe tiba.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika CHADEMA wamepigwa na kitu kizito kwelikweli kichwani mwao kilichopelekea kuvurugika akili zao. Uteuzi wa komandoo Makonda umewapiga sindano ya ganzi na kupooza miili yao na akili, kujawa na hofu na uoga wa hali ya juu sana.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa CHADEMA nzima haina mtu wa kuweza kupambana na Makonda jukwaani na mahali popote pale. Ndio maana unaona namna wanavyohangaika na jina la Makonda hata kabla hajafungua kinywa chake kuunguruma na kuzungumza.

Wanatambua Makonda ni silaha ya maangamizi kwa hoja dhaifu na siasa za matukio walizozizoea CHADEMA kutembea nazo. Sasa kwa Makonda ndio mwisho wao,n dio mwisho wa pumzi yao iliyokuwa imesalia katika mtungi wa hoja zao dhaifu.

CHADEMA wanajuwa komandoo Makonda ni jasiri, shupavu, madhubuti, imara na hodari sana wa siasa hapa nchini. Wanajuwa nguvu kubwa ya kihoja aliyonayo Makonda, wanajua ushawishi alionao na namna alivyo maridadi na hodari katika kupanga mipango mikakati ya ushindi katika vita na mapambano ya kisiasa.

Wanajua jina tu la Makonda ni kampeni na ushindi tosha, ndio maana tangia ameteuliwa muda wote wanamjadili kwa hofu na uoga, wanajuwa Makonda ni mkubwa kuliko kamati kuu yao yote.

Wanasema ukiona adui yako analia lia juu ya silaha unazotumia basi jua ameshaona kiama na mwisho wake, ameshaona kuwa hana uwezo wa kusimama nawe katika uwanja wa mapambano. Sasa CHADEMA wameshajua kuwa wanakwenda kupoteza mapambano yote mbele ya legendari Paul Makonda.

CHADEMA endeleeni kutulia hivyo hivyo na msijifaye mmekuwa washauri wa CCM au kujifanya mnaipenda sana CCM kwa sasa. Sahauni ushindi wa aina yoyote ile katika uchaguzi wowote ule na wa ngazi yoyote ile maana mnamfahamu vyema Makonda kuwa ni mtu wa kazi juu ya kazi, mguu kwa mguu mpaka kieleweke.

Tafuteni ajenda na siyo kurukia vimatukio vya kupita, maana mtaumia sana mbele ya CCM hii ya Rais Samia iliyojaa manguli na wabobezi wa sayansi ya siasa na wenye mipango ya kisayansi kwa kila jambo.

Oneni namna suala la Bandari mlivyoangukia pua baada ya serikali kuja na mkataba ulio pongezwa na kila mtu kutoka kila pande ya nchi yetu na kupokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania.

Sasa wameanza kuhamisha magoli kwa kusema eti mkataba uwekwe hadharani pasipo kutuambia ni wapi Duniani ambako mikataba ya kibiashara na kiuwekezaji huwa inawekwa hadharani kama nguo za mtoto.

Hiyo yote ni baada ya kuishiwa hoja na ajenda hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa CHADEMA hainaga ajenda inazosimamia zaidi ya kudandia vimatukio ambavyo hutupiwa kama mfupa ili kuwavuruga, hasa kwa kutambua ukweli kuwa CHADEMA ni mkusanyiko wa watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na kuelewa mambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Sawa ndugu chawa........
 
Wewe ni 🌈
 
Wewe endelea kulamba matako tu baadae utakula kinyesi!
 
Kichwa chako ni kibovu kimejaa unafiki na kujipendekeza. Makonda aliyefikia hatua ya kuchokwa na Magufuli aliyekuwa muhumini wa siasa za mabavu, ataweza kufanya hii kazi kwa ufanisi kipindi hiki cha Samia?

Hujui kusoma hulka za watu aina ya Makonda? Atakipaka chama na serikali yake matope badala ya kukisaidia. Samia ana nia ya kurudisha imani kwa watu wa Kanda ya ziwa lakini turufu zake anazikosea kuanzia uteuzi wa naibu waziri mkuu ambao haukuwa na sababu ya wazi ktk kuanzisha cheo hicho kwa mtu aliyempa. Kwasababu wewe ni mtu uliyeshajitoa ufahamu siku nyingi endelea na mapambio.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika CHADEMA wamepigwa na kitu kizito kwelikweli kichwani mwao kilichopelekea kuvurugika akili zao. Uteuzi wa komandoo Makonda umewapiga sindano ya ganzi na kupooza miili yao na akili, kujawa na hofu na uoga wa hali ya juu sana.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa CHADEMA nzima haina mtu wa kuweza kupambana na Makonda jukwaani na mahali popote pale. Ndio maana unaona namna wanavyohangaika na jina la Makonda hata kabla hajafungua kinywa chake kuunguruma na kuzungumza.

Wanatambua Makonda ni silaha ya maangamizi kwa hoja dhaifu na siasa za matukio walizozizoea CHADEMA kutembea nazo. Sasa kwa Makonda ndio mwisho wao,n dio mwisho wa pumzi yao iliyokuwa imesalia katika mtungi wa hoja zao dhaifu.

CHADEMA wanajuwa komandoo Makonda ni jasiri, shupavu, madhubuti, imara na hodari sana wa siasa hapa nchini. Wanajuwa nguvu kubwa ya kihoja aliyonayo Makonda, wanajua ushawishi alionao na namna alivyo maridadi na hodari katika kupanga mipango mikakati ya ushindi katika vita na mapambano ya kisiasa.

Wanajua jina tu la Makonda ni kampeni na ushindi tosha, ndio maana tangia ameteuliwa muda wote wanamjadili kwa hofu na uoga, wanajuwa Makonda ni mkubwa kuliko kamati kuu yao yote.

Wanasema ukiona adui yako analia lia juu ya silaha unazotumia basi jua ameshaona kiama na mwisho wake, ameshaona kuwa hana uwezo wa kusimama nawe katika uwanja wa mapambano. Sasa CHADEMA wameshajua kuwa wanakwenda kupoteza mapambano yote mbele ya legendari Paul Makonda.

CHADEMA endeleeni kutulia hivyo hivyo na msijifaye mmekuwa washauri wa CCM au kujifanya mnaipenda sana CCM kwa sasa. Sahauni ushindi wa aina yoyote ile katika uchaguzi wowote ule na wa ngazi yoyote ile maana mnamfahamu vyema Makonda kuwa ni mtu wa kazi juu ya kazi, mguu kwa mguu mpaka kieleweke.

Tafuteni ajenda na siyo kurukia vimatukio vya kupita, maana mtaumia sana mbele ya CCM hii ya Rais Samia iliyojaa manguli na wabobezi wa sayansi ya siasa na wenye mipango ya kisayansi kwa kila jambo.

Oneni namna suala la Bandari mlivyoangukia pua baada ya serikali kuja na mkataba ulio pongezwa na kila mtu kutoka kila pande ya nchi yetu na kupokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania.

Sasa wameanza kuhamisha magoli kwa kusema eti mkataba uwekwe hadharani pasipo kutuambia ni wapi Duniani ambako mikataba ya kibiashara na kiuwekezaji huwa inawekwa hadharani kama nguo za mtoto.

Hiyo yote ni baada ya kuishiwa hoja na ajenda hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa CHADEMA hainaga ajenda inazosimamia zaidi ya kudandia vimatukio ambavyo hutupiwa kama mfupa ili kuwavuruga, hasa kwa kutambua ukweli kuwa CHADEMA ni mkusanyiko wa watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na kuelewa mambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
makonda yule muuaji na aliesimamia zoezi haramu la kumuua tundu lissu?
 
Namshauri Makonda na uongozi wa CCM wamchukuwe Haji Manara awe naibu wa Makonda hapo kwenye uenezi.

Haji Manara ni mpiga parapanda mzuri sana. Wamtumie hii miaka 2 iliyobaki kufika 2025, kwani naamini Haji Manara nia yake ni kuwa mbunge apige pesa za ubwete. Akianzia hapo itamsaidia sana kuzielewa "corridor" za kisiasa kuliko anavyozielewa sasa.
 
Makonda mwenyewe hasipobadilika mtashuhudia mpasuko ndani ya CCM. Uenezi ni nafsi kubwa kwenye sekritarieti ya chama cha mapinduzi, hivyo inaitaji mtu mtulivu, busara na anaekielewa chama, siyo kama uenezi wa Simba na Yanga. Manara ni mropokaji akipewa uenezi CCM ataichimbia shimo.
 
Nimesema awe naibu.

Makonda naamini chini ya uongozi wa Kinana ataweza.
 
Faiza, acha kushabikiashabikia unapojadili vitu vya msingi. Kinana ni makamo mwenyekiti, Makonda ni mtendaji chini ya katibu wa chama. Hayo ya uongozi wa Kinana yametoka wapi tena. Alishidwa nini kumsimamia Mjema?
 
Kwa ushahidi upi ulionao au unaropoka tu ndugu yangu??.
Neno "kuropoka" linamaanisha kutoa maneno au hotuba bila kujizuia au kwa kasi, mara nyingine bila kufikiria athari au madhara ya maneno hayo.
Kwa kuzingatia muktadha huo wa maana ya neno kuropoka ni dhahiri ubongo wako ni tupu, kwanza hapa hakuna mtu anayezungumza watu wanawasilisha mawazo, maoni na hoja zao kwa maandishi au kwa njia ya kuandika. Pili wewe sio mahakama ili kuhitaji ushahidi ili kuthibitisha au kukanusha makosa ya mtu. Kwa jamii iliyostaarabika makonda hawezi kujitenga na uovu wake uliokua dhahiri na wazi wazi kwa matamshi na hata kwa vitendo. Rejea sakata lake la Kuvamia kituo cha Clouds Fm and subsequently Bwana Nape kutolewa Silaha hadharani wakati akitekeleza majukumu yake na hapo hapo kuzuia Tamasha la Fiesta na Magufuli akawasuluhisha kwa Nguvu Kule Mkoani Tanga. Kiufupi wewe ni Mjinga
 
Niwekee ushahidi wa uhusika wa Paul Makonda katika hayo uliyoyazungimza hapa. Ni wapi ,lini na mwaka gani Makonda alimtolea mh Nape bunduki? Usipende kuandika vitu kwa hisia na mkumbo tu wa kihisia pasipo kuwa na ushahidi wa aina yoyote ile. Mahakama ipi iliyomtia Makonda hatiani? Au wewe ndiye mahakama? Wewe ndiye mtoa hukumu kwa hisia zako tu?
 
Back
Top Bottom