Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,484
- 5,142
Tehe Compaq ndo kumbe ulikuwa unaitwa kabla ya ubatizo
Mkuu Mentor kumbe ulifanya modification ya ID? lol!...Pole sana Mkuu kwa yaliyokukuta.
Mrembo by Nature...hii stori ni ya zamani sana my dia....! thanks anyway...Vumilia, usirudi nyumaa kaza mwendo usife moyo, vumilia usirudi nyuma pambazuko liko karibu (mie naimba tu)
Imekuwa kisa cha m,uomba jamvi.
Kama ulimpenda why usingemwambia? kwake yeye asingekusisitizia kwani mwanamke kumwambia mwanaume nakupenda na akasisitiza hasa upendo unaoelekea kwenye sexual relationship ni ngum sana. Huwa hata ukimwambia mwanaume kwamba unampenda all they do ni ku end up kukuona wa ajabu na they take it for granted. I will never tell a man kwamba nampenda.
Ehe ULIMPATA AU ALISHAOLEWA??????@Mentor
Mrembo by Nature...hii stori ni ya zamani sana my dia....! thanks anyway...
pole we,nilikuwa sijaiona hii post kumbe na wewe ni domo zege?LOL
Ndo maana nimeuliza ulimpata au alishaolewa? maana yangu ni kwa wakati huu, uvumilivu ni hali ya kuendelea japo ni ishu ya muda. Kwani kipindi hiki huna changamoto yoyote hata kama sio ya kimahusiano? kama ndio bado unahitaji uvumilivu
pole we,nilikuwa sijaiona hii post kumbe na wewe ni domo zege?LOL
Sikumpata maana nilirudi zangu home sweet home...
Nina changamoto za kimaisha (uchumi) zaidi na uvumilivu ni no kwangu i fight hard..i want t now..i want t bad!!!
When do we start?
Nitaomba nikufanyie maombi private, teh teh teh ! Hayo maombi yatakuwa ya usiku na mchana kwa muda siku saba ili hitaji lako la kupata kila ukitamanisho litimie, uko tayari???????
Daaaaaamn BAK, that was me then...av grown older n wiser bro...dah
Mrembo by Nature...hii stori ni ya zamani sana my dia....! thanks anyway...
Jibu kwanza uko tayari??? then nitakuuliza maswali flani alafu ukiyajibu ndipo tuendelee
Unajua Mrembo by Nature by any chance shetani akinipitia na wewe utakuwa makosani unangojea nini na mm nshasema tuanze lini hayo maombi lakini?
Koh koh ...
Watu wanajua kufukunyua haha haaaaa!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Okay tutaanza kesho saa 6kamili usiku hadi saa 6.30 usiku. Usitumie kilevi cha aina yeyote wala sigara, kama kuna mtu una kinyongo nae yakubidi usameheane nae ndipo uingie katika haya maombi. Niko serious. Just by faith. baada ya siku saba uniambie vile unafeel. Umesikia Mentor???
du yu mini tunayafanya ki-blue tooth?? :nono: