Patience mpaka lini..!??

I think lack of Self confidence is your problem, so work on it first...
 
Preta, naweza sema ninamfahamu na mimi niko tayari kumuambia anytime we meet. (Kwa sasa tuko mbali kiasi...bado ndo anamalizia chuo).
Shida ni anaboyfriend kwa sasa...
Ama kweli "mvumilivu hula mbivu ila akivumilia sana hula mbovu!"

NB: For the sake of people who are in my situation now; Ni nini mtu ufanye in that period of being patient! Wakati unachukua muda kumfahamu...ili usikurupuke kuingia into a relationship u were not ready for au ili usimpoteze/asichukuliwe na vicheche!!![/B]

I think 6 months is enough to know a person, specially if you have interest in her... but i took u soo long dear.... nakumbuka huu msemo... chelewa chelewa utamkuta mtoto si wako
 
Preta, naweza sema ninamfahamu na mimi niko tayari kumuambia anytime we meet. (Kwa sasa tuko mbali kiasi...bado ndo anamalizia chuo).
Shida ni anaboyfriend kwa sasa...
Ama kweli "mvumilivu hula mbivu ila akivumilia sana hula mbovu!"

NB: For the sake of people who are in my situation now; Ni nini mtu ufanye in that period of being patient! Wakati unachukua muda kumfahamu...ili usikurupuke kuingia into a relationship u were not ready for au ili usimpoteze/asichukuliwe na vicheche!!!

lakini huo mwanya wa yeye kuwa na boyfriend ni wewe uliusababisha...ila we mueleze feelings zako...utapata relief pale ukitoa kilichopo moyoni.....kuwa na boyfriend hilo lisikusumbue yeye ndie anayejua moyoni mwake kuna nini...inawezekana yule alie nae hana qualifications ulizonazo wewe....go ahead and tell her
 
Hii mambo acha Compaq nenda mwenyewe wala usione soo nina rafiki yangu ni kama 2-3 weeks past tukiwa kwenye kiparty fulani alitumwa na mwenzie msg aifikishe kwa binti kapuni matokeo yake akaenda kujiwakilisha mwenyewe na sasa yuko sambamba na huyo mdada ..!!!
 
I think 6 months is enough to know a person, specially if you have interest in her... but i took u soo long dear.... nakumbuka huu msemo... chelewa chelewa utamkuta mtoto si wako
Mhh una uhakika na huo muda? I thought muda una differ from person to person??!
Lakini pia ni wahenga hao hao waliosema mvumilivu hula mbivu..which is which!??
 
Preta, naweza sema ninamfahamu na mimi niko tayari kumuambia anytime we meet. (Kwa sasa tuko mbali kiasi...bado ndo anamalizia chuo).
Shida ni anaboyfriend kwa sasa...
Ama kweli "mvumilivu hula mbivu ila akivumilia sana hula mbovu!"

NB: For the sake of people who are in my situation now; Ni nini mtu ufanye in that period of being patient! Wakati unachukua muda kumfahamu...ili usikurupuke kuingia into a relationship u were not ready for au ili usimpoteze/asichukuliwe na vicheche!!!

Compaq kama unampenda huyo dada na si kumtamani go for it kuna mtu alisema amekaa na B/F kwa zaidi ya miaka mitano hajawahi kutamkiwa chochote juu ya mahusiano yao..Huwezi jua mipango ya mungu iko vip ati.......
pia kuhusu umbali kuna simu kuna email ..njia nyingi sana za mawasiliano..
 
lakini huo mwanya wa yeye kuwa na boyfriend ni wewe uliusababisha...ila we mueleze feelings zako...utapata relief pale ukitoa kilichopo moyoni.....kuwa na boyfriend hilo lisikusumbue yeye ndie anayejua moyoni mwake kuna nini...inawezekana yule alie nae hana qualifications ulizonazo wewe....go ahead and tell her
i luv dat!!!!
 
Mzee kosa si kufanya kosa, kosa ni kurudia kosa. UJANJA KUPATA sio KUWAHI... Nenda mwambie unachofeel juu yake. UTAKOSA mwana na maji ya moto.
 
Mhh una uhakika na huo muda? I thought muda una differ from person to person??!
Lakini pia ni wahenga hao hao waliosema mvumilivu hula mbivu..which is which!??
Hapa kuna suala la imani na ukweli wa moyo wako
Kuna imani nyingine zinakuzuia wewe kuwa na haraka- na hapa ndipo alipo Compaq ingawa najaribu kuhisi kutokana na michango yake. Lakini mwingine hata mwezi mmoja unatosha kuanza kwa mahusiano lakini sio kila mtu
 
Compaq kama unampenda huyo dada na si kumtamani go for it kuna mtu alisema amekaa na B/F kwa zaidi ya miaka mitano hajawahi kutamkiwa chochote juu ya mahusiano yao..Huwezi jua mipango ya mungu iko vip ati.......
pia kuhusu umbali kuna simu kuna email ..njia nyingi sana za mawasiliano..
Mitano kabisa??!
Anyway, as soon as we meet i hav planned to tell her! kama ni uvumilivu nimekuwa nao wa kutosha!
But kwa sasa, mtazamo ni upi; what should someone be doing when they are waiting for the perfect time? I am just trying to see where I went wrong mpaka akachukuliwa na mwingine!??
 
Unataka uteseke hadi lini? na unataka umfahamu kwa kiwango gani? Si lazima uonane naye ndio umwambie how u really feel... Otherwise, u might be late
 
Mitano kabisa??!
Anyway, as soon as we meet i hav planned to tell her! kama ni uvumilivu nimekuwa nao wa kutosha!
But kwa sasa, mtazamo ni upi; what should someone be doing when they are waiting for the perfect time? I am just trying to see where I went wrong mpaka akachukuliwa na mwingine!??

mtumie e-mail au sms...
 
Hapa kuna suala la imani na ukweli wa moyo wako
Kuna imani nyingine zinakuzuia wewe kuwa na haraka- na hapa ndipo alipo Compaq ingawa najaribu kuhisi kutokana na michango yake. Lakini mwingine hata mwezi mmoja unatosha kuanza kwa mahusiano lakini sio kila mtu
Hapo kidogo umenena! I believe in knowing a person fully before I say any commiting word to them!
Sasa je, kwa huo mwezi mmoja utakuwa umemfahamu mtu kiundani kweli!?? From experience (nilipokuwa chuo and where I am working now) mkikaa na mtu pamoja for a long time unaweza kupata feelings about the person but the feelings might not necessarily be love! In a month you may know you have feelings for him/her but not enough time to know if you can live with the person...
Sasa kwa mwezi tu mkuu si unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi sana!??ama nimekosea??
 
unaulizak uhusu patience.....
well .......naona ungelimwambia kuwa unampenda, yeye akakuambia hana mapenzi kwako bado, ukamuacha aka enjoy life, huku wewe unasubiri ningeweza sema hiyoni patience.....

lakini usimwambie kisha useme patience! thats a no no no.........

mwambie kwanza then take it from there
 
mtumie e-mail au sms...
Aaaah Preta...wewe ungepropoziwa in such a manner ungejisikiaje?esp. if it is for the first tme..i mean, she has just known me as a good friend! leo hii anapata e-mail ati ninakupenda sana...itakaa kama spam! (btw, it wont be long till I see her again-April.) Isn't it better nikasubiri tu!??
Picture this: We meet in town for lunch/dinner...we catch up a bit then in the middle of the discussion nidondoshe bomb!unaonaje??!
 
Mitano kabisa??!
Anyway, as soon as we meet i hav planned to tell her! kama ni uvumilivu nimekuwa nao wa kutosha!
But kwa sasa, mtazamo ni upi; what should someone be doing when they are waiting for the perfect time? I am just trying to see where I went wrong mpaka akachukuliwa na mwingine!??[/QUOTE]

Swala zima ulikaa kimya hukusema hisia zako asingeota kama anapendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom