Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Kuna mbegu nyingi zilizofanyiwa utafiti duniani kama F1 Hybrid Taiwan Princess mbegu hii sio genetic kwahiyo inaweza kulimwa nchini na ni nzuri kwasababu shelf time yake ni kubwa kulinganisha na papai zetu za kienyeji na zinaweza kuuuzika nje ya nchi (Ideal for export)
Inapatikana wapi? hiyo mifupi iliyofungashia sijawahi kuiona mimi