Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
well, well, well,...ama katika jambo lililo gumu ni kutaka Ex- wako asiwe tena karibu na ndugu/rafiki zako. Ki ukweli, na hata dini zinatuongoza tuachane kwa heri... hii itatusaidia sana hata kwenye mashirikiano na Ex's pale patapotokea dharura, mfano kuuguliwa, kifo, harusi, nk ambapo kwa namna moja ama nyingine ex atahitajika awepo.
So long as an Ex atabakia an ex, hakuna kokoro kabisa... vurugu ni pale an Ex anapokuwa na sauti kwenye current mahusiano, ...huo unakuwa sio uhusiano tena..bali ni utatu!
Kumbe sredi yako ndio ilikuwa na mueleko huu? aaahh, samahani kwa kuchemka na ma inner circle yangu.
Sijui wachangiaji wengine wanamtazamo gani...