MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Wapendwa wanaJF
Salamu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hii misemo na ushauri kuwa unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya, unatakiwa usimwuulize, wala usiangalie past ya mwenzi wako! Hapa nazungumzia mnapoanza mahusiano yenu. Na wakati mwingine hushauriwa kuwa Maisha yenu wote wawili katika umoja wenu huo yanaanzia pale mlipokutana.
Najiuliza ili uidefine kuwa hii ni past ya mwenzangu na sitakiwi kujiumiza nayo, haitakiwi kuniworry, unaanzia wapi??
Mwaka?, miezi? wiki?
How past is the past?