Password ya mume mkora/mkware

Nyumbu-

JF-Expert Member
May 26, 2009
987
349
Jamani jamvini,

Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!

Asanteni kwa mawazo!
 
haya mambo ya madawa haya, sasa ukimfanyia hiyo dawa ili akienda huko mambo yasiwezekane, ndo ikawa moja kwa moja, i.e. hata akiwa nawe haiwezekani utafanyaje?
achana na mambo ya madawa.................. tafuta mbinu nzuri ya kimahaba ya kumfanya atulie
 
Jamani jamvini,

Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!

Asanteni kwa mawazo!

Mnatumia line gani ya simu?
 
mUNGU ANAWEZA YOOOTE MWAMINI YY NDIO KILA KITU NA TIBA YAKO,ACHANA NA HIZO DAWA ZA KUFIKIRIKA WAO MBN WANAMUOMBA MUNGU HUYOHUYO?KAMA WANGEKUWA NA UWEZO SI WANGEJIUMBA TU MY DIA?SI WANGEJUA SIKU ZAO ZA MWISHO WAJIANDAE?
'Surely goodness and mercy shall follow me all the days of my life...' Psalm 23:6 NKJV
 
Sasa leo si kama kawaida
 
Sala ndiyo silaha kubwa. Itapendeza sana kama utaweza kumfanya mume wako naye asali pamoja nawe maana nyumba inayosali pamoja huishi pamoja. Nachelea ile ya kusali peke yako na kuweka novena na pengine kufunga ikawa ili ibilisi wa ngono amuondoke jamaa ikabidi Mungu ampige chini kwanza kwa ugonjwa au kumpunguzia kipato maana nina mifano iliyowahi kutokea. Madawa noo. Lastly, kwani hamuwezi kuzungumza pamoja?
 
Jamani jamvini,

Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!

Asanteni kwa mawazo!

Mnatumia line gani ya simu?

Rev Masanilo, mbona unaipitia taarifa ya mtoa mada juujuu, hebu angalia hapo kwenye nyekundu kutoka kwenye post yake
 
Hapo hapo taratibu shostito ..............akina The Finest, Fidel watakusaidia kupafafanua hapo .....otherwise jihami.
 
Jamani jamvini,

Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!

Asanteni kwa mawazo!

Rev Masanilo, mbona unaipitia taarifa ya mtoa mada juujuu, hebu angalia hapo kwenye nyekundu kutoka kwenye post yake

Nimemsoma mara mbili! Basi kama anampa kila kitu basi ile line maarufu imechakachuliwa imepoteza uhalisia! Wachina wanaweza rekebisha mambo akiwaona
 
Bi Dada mumeo inavyoelekea hii ni tabia yake na huenda uliijua tangu hata hamjaoana (Kama ameianza baada ya ndoa- dada jichunguze nini umepunguza tofauti na enzi za uchumba) But kama ilikuwa tabia yake tangu mwanzo ina maana ulilijua na kuamua kuingia either ukiamini utambadilisha (kosa tulifanyalo wengi) au uliingia nawe ukiwa na plan yako B. kifupi tabia hii haikukupa presha enzi hizo so ninakushauri ipotezee kama vile humwoni maana utakufa kwa presha bure uache wanao kama mnao watoto. Cha muhimu hakikisha kama unaweza anajihami kwa kinga kama haiwezekani tumia bongo yako kujilinda afya yako ili utunze wanao_Otherise ingea vitani bibi......

Achana na mambo ya waganga, wachina sijui nini watakupatia dawa ambayo huwenda ikaathiri mazima unashangaa tu fimbo yako uloizoea hata kwako yageuka nyoka badala ya kukuchapa inakung'ata.
 
Back
Top Bottom