Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Huyo jamaa juu hapo amekudadavulia vizuri sana.passport ya tanzania ni haki ya kila mtanzania ambaye ni msafiri .ili upate passport lazima uwe mtanzania na uwe na safari, haya ndio masharti makuu mawili na lazima yathibitishwe kwa maandishi without reasonble doubt . ili kuthibitisha uraia wako ndio wanakwambia ulete vyeti vya kuzaliwa vyakwako na wazazi nabkuthibitisha safari ndio watakwambia ulete vielelezo kama alivyosemabjamaa hapo juu ,na hii si tu watu wanaongea ila ndio sheria zilizotungwa nabkupitishwa zinataka hivyo.na kwenye hoja yako ya safari ya ghafla na lazima na muda wa ku process passport ni mrefu huyo mtu atapewa kitu kinaitwa emergency traveling doc.ETD hii hatua zake kuipata ni muda mchache itamuwezesha kusafiri safari yake na kurudi.japo pia kunao uwezo wa ku process passport kwa siku moja na akapata inategemea na uharaka na umuhimvwa hiyo safari.kwa hiyo tusibishe vitu tu kwa kuwa sisi nibwabishi tujitahid kusoma kwanza
 
Na ili uelewe zaidi soma passport act ya tanzania na citizenship act ya tanzania ndio utaelewe raia ni nani na msafiri ni nani
 
Je kama sina safari kwa sasa lakini ni nataka kuwa nayo passport yangu in case kama nikipata safari inakuwa rahisi kwangu kuondoka.
 
Je kama sina safari kwa sasa lakini ni nataka kuwa nayo passport yangu in case kama nikipata safari inakuwa rahisi kwangu kuondoka.
Rwanda mtoto akizaliwa anapewa cheti cha kuzaliwa na passport wazazi wakitaka. Passport inatolewa kwa kila mnywanda anayetaka bila kujali anasafiri ana Safari au la.
 
Wadau wa jf, naamini mko wazima, swali langu ni kama hapo juu, mwenye uelewa namna ya kupata passport kwa hapa bongo natumia utaratibu gani, na pia viambatanisho, na garama zinazohitajika na approx muda gani itachukua mpaka niipate pasport
 
Wadau wa jf, naamini mko wazima, swali langu ni kama hapo juu, mwenye uelewa namna ya kupata passport kwa hapa bongo natumia utaratibu gani, na pia viambatanisho, na garama zinazohitajika na approx muda gani itachukua mpaka niipate pasport
Kachukue fomu uhamiaji pale angalia maelezo nyima ya ile fomu ujue ni aina gani ya passport unataka then yafuate ila kumbuka kjna usumbufu sana kwa maafisa uhamiaji pale sasa hvie wakati wa john jiandae na maswali mengi mkuu
 
mimi walinisumbua kila nikienda dar kuchukua wananiambia hawajaprint kuna tatizo la mitambo mwisho wakanambia wanatengeneza za wanajeshi wanaosafiri baada ya kukaa hoteli kwa wiki mbili na tarehe ya kusafiri imekaribia nikaenda kwa mkuu nikamwambie nipe jibu napata sipati akaniambia nirudi sa kumi ajabu nikakuta mfanyakazi mmoja ananisubiri mlangoni na sikutoa senti zaidi ya hasara ya hotel za dar....
Ulimuona nani mpaka kupata msaada?
 
niliahirisha baada ya kuambiwa nilete cheti cha babu yangu ,nikawaza babu alizaliwa mwaka 1902,hiki cheti chake nakipataje nikachukua uamuzi wa kuahirisha kwanza ,kwa sasa sijajua endapo urasimu ni ule ule au la.

Aidha unatutengeneza au hujawaelewa.
Nyaraka zinazohitajika ni zile zinazokuhusu wewe muombaji pamoja na za wazazi wako wawili na iwapo mambo yako yamenyooka si wote karatasi za mmojawapo tu kama zimenyooka unapata ganda lako.

Babu na bibi zako hata kwenye maelekezo yao nyaraka zinazohitajija hakuna.
Au tena uraia wako una mashaka ya wazi,
Hivyo unabanwa kiaina ithibitike.

Na mwisho, wanaposema upeleke cheti chá kuzaliwa chá mtu huwa hawaishii hapa lazima waseme
(Au kiapo)

Sasa haya ya cheti chá babu yako sijui umeyatoa wapi mwenzetu.

Na uweke akilini,
Nini 1902?
Wapo wanaoweza kuwa walizaliwa 2012 na bado wakawa kwa sababu hii au ile hawana vyeti vya kuzaliwa.
 
Kama wazazi wamefariki hivyo vyeti vyao vya kuzaliwa vina umuhimu gani? Au hapo ina kuwa je?
Kwa idara ya uhamiaji umuhimu wa vitu hivyo upo.

Wewe vichome kisha mbeleni akili itakukaa sawa.

Mwaka huuhuu yupo mtu namjua katengeneza kiapo chá kuzaliwa chá mtu ambae ameshakufa kinahitajika mahali.
 
Unajua wananchi tunatengwa na serikali nitasema sababu, hizi wizara za serikali zina onekana na Wanavyo amini viongozi ni kwa ajili ya waajiriwa wa serikali tu, kwa wananchi hawana haki, wao viongozi pamoja na waajiriwa wa serikali huduma kwao ni bure sisi wananchi wa kawaida lazima ulipe.

Mfano

Mgeni kutoka Ulaya kama Atakuja Tanzania atapoteza passport na pesa yake ya kutumia, credit card, kama ataenda ubalozi wake, watampa travel document bure, pesa ya kutumia na hata ticket bure.

Sasa wewe mtanzania nenda popote pale nje ya nchi patwa na tatizo lolote, tuchukulie hilo kama passport na pocket money upoteze au uibiwe, Wallah balozi kama atakusaidia travel document tu tena ukifika Tanzania lazima ulipe gharama zote ulizo hudumiwa na balozi kwa your trouble.

Ndio maana Unapo Omba passport unajaza wazamini wawili na mashahidi watatu, ní kiapo hicho cha any your troubles utakapo kwenda gharama zitalipwa na wadhamini wako.

Sasa hii serikali ni ya nani? Kwa nini tupate huduma bure, sisi ni wananchi wake, lazima serikali ichukue gharama hizo, naenda China kuchukua business, nalipa kodi, naenda dubai Nikirudi nalipa kodi, hata kama kutembea pia ticket inalipwa kodi.
 
Back
Top Bottom