thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 527
- 221
Huyo jamaa juu hapo amekudadavulia vizuri sana.passport ya tanzania ni haki ya kila mtanzania ambaye ni msafiri .ili upate passport lazima uwe mtanzania na uwe na safari, haya ndio masharti makuu mawili na lazima yathibitishwe kwa maandishi without reasonble doubt . ili kuthibitisha uraia wako ndio wanakwambia ulete vyeti vya kuzaliwa vyakwako na wazazi nabkuthibitisha safari ndio watakwambia ulete vielelezo kama alivyosemabjamaa hapo juu ,na hii si tu watu wanaongea ila ndio sheria zilizotungwa nabkupitishwa zinataka hivyo.na kwenye hoja yako ya safari ya ghafla na lazima na muda wa ku process passport ni mrefu huyo mtu atapewa kitu kinaitwa emergency traveling doc.ETD hii hatua zake kuipata ni muda mchache itamuwezesha kusafiri safari yake na kurudi.japo pia kunao uwezo wa ku process passport kwa siku moja na akapata inategemea na uharaka na umuhimvwa hiyo safari.kwa hiyo tusibishe vitu tu kwa kuwa sisi nibwabishi tujitahid kusoma kwanza