Move ya katiba sasa hivi inaonekana kuwa kati ya CCM na CDM, Pascal hayuko huko, so nadhan yuko sahihi kuonesha hilo wazi kwamba hayuko katika pande zinazovutana. I stand to be corrected.
Nafikiri ni ulimbukeni mtu kusema kwenye hili swala la katiba ati ni CDM vs CCM, kwa mtizamo wangu ni wananchi vs CCM, ni makosa makubwa sana mtu mwenye fikra huru anapojiona kuwa yeye sio sehemu ya mchakato wa katiba, ur either in wananchi's side or CCM