Parul University scholarship (India)

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
315
413
habari zenu wakuu
ni imani yangu kuwa mko poa

nimekutana na posts za scholarship za hiki chuo kwa jina la Parul University cha huko india
naomba kuuliza kwa wadau wa elimu kama kipo vizur na je scholarship zake ni legible

nawasilisha
 
Parul University ni chuo kizuri sana India, kipo Gujarat.
Hiki chuo wanatoa 50% ya scholarship kwa Tution fee tu hivyo utatakiwa kulipa hyo 50% ya ada na gharama zingine.

50% ya ada ni kama 1200 USD Jumlisha hostel fee, medical fee, registration fee n.k.

Hivyo ili ukasome kule uandae kama 3200 USD hv kwa mwaka mmoja unatoboa.

NB: This is for Masters studies.
 
3200 Kama tuition fee pekee au pamoja na accomodation cost, food, etc .?
 
Kwa kiasi fulani ni ndogo maana wanatoa 50% scholarship on tution fee only.
 
Mda mwingine kusoma nje kuna faida zake na ulizingatia India ni kati ya nchi zinazotoa elimu bota duniani.

Au unataka Nchi nzima tuzalishe hawa Ma-purofesser ambao hata kingereza kwao changamoto ??
 
Uzuri Asmission Office ya Parul University kuna dem wa kibongo ni mtu wa Iringa. So ukiamua kuchat nao kwa kihehe ni fresh tu
 
Back
Top Bottom