Party nyumbani kwa Lowassa leo

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mimi naonaga wafanya biashara wa kimasai wanaoishi Arusha huwa wanateseka sana. Hawa mabwana wanaishi kwa matumaini wakitegemea kwamba Lowassa atakuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2015.

Kila kukicha anafanya party nyumbani kwake Monduli na hawa wafanya biashara wote wa kimasai inabidi waende. Ole wako usipokwenda kwenye sherehe Monduli.

Leo kuna party kubwa ambayo mpaka sasa inaendelea.
 
yaah na party za lowassa,is somethn to dream about gettin invitation,jamaa huwa anafanyaga kufuru maana kinywaji choote unachokijua duniani kinakuwepo,nyama choma fresh ng"ombe na mbuzi wanachinjwa na wanachomwa siku hiyo kimasai na wamasai live,pembeni kuna supu la utumbo na mabichwa ya mbuzi na ndizi unachemka.halafu mbele pale kunakuwa na msosi wa nchi zoote unazojua wa kimataifa unajisevia.nilihudhuria paty yake moja miaka hiyo sitasahau.
haihusiani na ufisadi wakuu,ufisadi wake anajua yeye.mi nilialikwa tu :hungry:msinimeze.
 
duu kwa nini mambo makubwa kama hayo anayo yafanya asiwafanyie watoto yatima hata siku moja wakati wa sikukuu ili abarikie zaidi na ufisadi wake
 
Kila siku najiuliza mafisadi huwa wanakula sahani ngapi za chakula kwa siku? Huwa wanalala katika vyumba vingapi au vitanda vingapi wakati wa usiku? Huwa wanavaa nguo ngapi kwa wakati mmoja?

Mihela yoote hiyo mabilionikwa mabilioni wanayoichota huwa wanaifurahiaje? Kula chakula kingi? Kumiliki majumba mengi? Kumiliki rundo la nguo?
 
we dont know, but they will DIE someday! GOD make it sooner
 
Kila siku najiuliza mafisadi huwa wanakula sahani ngapi za chakula kwa siku? Huwa wanalala katika vyumba vingapi au vitanda vingapi wakati wa usiku? Huwa wanavaa nguo ngapi kwa wakati mmoja?

Mihela yoote hiyo mabilionikwa mabilioni wanayoichota huwa wanaifurahiaje? Kula chakula kingi? Kumiliki majumba mengi? Kumiliki rundo la nguo?
kawaulize hao mafisadi. sisi sio mafisadi, Tafadhali.
 
Back
Top Bottom