pinkmousse
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 227
- 88
ukimtegemea mtu awe chanzo cha furaha yako lazima paranoia ikupate,yani unapata kama uchizi hivi kila saa kuchungulia chungulia simu kufuatilia vitu vidogo vidogo without knowing kwamba unamchosha mwenzio na kujinyima raha bila sababu, haya mambo yalinicost nimeacha kabisa sitaki kuona message wala simu imepigwa na nani na imenisaidia sana, kwa sababu ukikuta no messages no missed calls ni tatizo,ukikuta message ni tatizo, haina jema hii tabia ni kama kujichimbia shimo lako mwenyewe