Yehoshafati
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 246
- 526
Kwa hiyo nyama ya nguruwe haramu ila mchuzi ruksa kunywa si ndio?
Mfyuuuuuunilisahauuuu
MfyuuuhChumermeryo konyo ahahahah
Mbna tayariii wamesha anza kubarikiwa huko.Kwa hiyo unataka kanisa likutambue kama shoga ili upewe sacrament za kishogashoga..........dunia ngumu hii.
Kwahiyo shoga hastahili wokovu hata kama amedhamiria kuacha dhambi yake ya ushoga?Sio kwa maana hiyo ndugu,hebu Acha kuhalalisha ujinga.
Kasome maandiko vizuri juu ya kuwakiana tamaa.wanaume kuacha matumizi ya viungo halali vya wanawake
Matayo 13:24-46Mbona Eliya aliwachinja wale manabii hakuwaacha!!!Shetani anabarikiwa Kanisani???
Na anayejua dhambi zote ni Mungu tu kwa mara chache na mtendaji wa hiyo dhambi. Wengine tunabaki kujua sehemu ndogo sana ya dhambi za wengine. Hivyo ni jukumu letu kwarudisha pale tunapoona wamehaibika na siyo kuwatengaMungu atakubariki endapo utamtii,na kuzishika amri zake.
Marekani wameashanza kubariki mashoga unajifanya kipofu hili karatasi laki kafungue mandaziView attachment 2847833
View attachment 2847851View attachment 2847852View attachment 2847859View attachment 2847861View attachment 2847866View attachment 2847867View attachment 2847902View attachment 2847903View attachment 2847906
Hiki ndicho alichokisema Baba Mtakatifu Francesco ambaye ndiye Kiongozi Mkuu wa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume Duniani,
Nimejipa muda wa kutosha nimeupitia waraka huu Mtakatifu nukta kwa nukta neno kwa neno mstari kwa mstari sijaona sehemu Ushoga na Usagaji vimeruhusiwa na kiongozi huyu wa juu kabisa wa Kanisa.
Katika waraka huu zaidi sana nimeona nafuu waliyopewa hawa mashoga wamepata neema kwa vitu vyao kubarikiwa mfano wa vitu hivyo ni kama kiwanja, Nyumba, gari au vinginevyo ila si ndoa Takatifu,
Tunakubaliana wote kuwa Gari la shoga haliwezi kuwa ni gari shoga au shule ya Shoga haiwezi kuwa ni shule shoga ila mmiliki,
Ushoga ni baina ya mtu na mtu mfano mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke na si kitu na kitu.
Kwakuwa tunaishi kwenye nyakati za mwisho watu wanatamani Kanisa liidhinishe dhambi zao mbele za Mungu.
Lazima tufahamu kuwa, Hata kama Kanisa au misikiti itaruhusu Ushoga dhambi hii bado iko palepale, na ni motoni moja kwa Moja bila mjadala.
Mungu lilinde na kuliinua Kanisa Katoliki Duniani, kote
Huo uongo na uzandiki umeutoa wapi??Teteetehhh Papa kawaruhusu hata Waislam wa Pwani na Zanzibar kutifuana Mitaro tu. Teteteeeeee. Hivi shehe wangu katika Hadith Idadi 16,245 ambapo Muddy(56) aliunyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al Hassani mwana wa Ali alimaanisha nini Muddy boy?
Kwahiyo bwana kashoga unazikataa hadith leo?Huo uongo na uzandiki umeutoa wapi??
QUR'AN inapinga ushoga na hukumu yake ni kifo.
Hata Muhammad(s.a.w) alituongoza kwa Qur'an.Chochote kitachosemwa nje na kitabu ni uongo.
Tafuta uongo mwingine wa kumpakazia mtume.
Hao wazanzibar ni hurka yao wala usiwanasibishe na dini.
Nakubaliana kuwa kuna kitu kimeshahalalishwa. Lakini swali langu hivi msingi wa uhalalishaji wa mambo kwenye hii dunia huwa una basis gani? Namaanisha ni nani anasema hiking ni haramu na hiki siyo haramuAchana na huyo shoga, kwanini hawanyooshi maelezo hadi yanawasumbua wakatoliki kuelewa na kila mmoja anakuja na tafsiri yake?
Kuna tatizo linahalalishwa hapo.
Kila mtu atabeba kifurushi chake!!!Imani yangu ni kuwa IMANI IPO NDANI YA MTU KATIKA KUMWAMINI MUNGU.. kanisa, padre, mchungaji nk. naona hawana hatma ya uhusiano wangu na Mungu wangu..
nashukuru wameleta ukristu nikautambua mambo mengine ni yao na ushetani wao