sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Ndugu zangu, nimelazimika kusikiliza latin sombre himn...panis angelicus kumkumbuka mbunge wetu mh. Regia, ni mimi niliyeuliza lile swali la kuendesha gari na hali yake ile ...naomba radhi timing nadhani haikuwa muafaka..kwa sasa tumkumbuke na kumuenzi mbunge shupavu binafsi namkumbuka kwa jabali la swali alilomuuliza mh. sana Peter kayanza pinda...kana kwamba tanzania sasa imejipambanua kutopokea msaada kutoka uingereza kutokana na msimamo wake wa kupinga ushoga?! Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie...apumzike kwa amani( kwa wasio wakatoliki, Panis Angelicus ni nyimbo ya kilatini hupigwa kwenye maombolezo.