Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

Hii siyo sentensi niliyokujibu ungejaribu kuonyesha nini ulikiandika ambacho mimi nilikijibu mkuu, ama sivyo utapotosha watu kama nilivyoona hapo chini watu wanatuita sisi vichwa maji maana hawajui nini uliandika mpaka ukajibuiwa hivyo.
Nilichoandika hakitofautini...
Nachouliza hii Panama scandal tunailewa vizuri?
Siwez kupotosha watu wewe ndio utawapotoshwa... Maana ukweli utajulikana. It's obvious
 
Kwa wale waliokuwa wansubiri kupekuwa kwenye database ya Panama papers kuona kama kuna vijogoo wa Afrika hususani Tanzania wameficha fedha wanaweza kupekuwa sasa. Kila kitu kimewekwa online.

Baadhi ya majina ni;

Hasnain Ahmed Hassanali Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mohamedraza Ahmed Hassanali Tanzania, United Republic of Panama Papers

Ahmedirfan Mohamedraza Hassanali Tanzania, United Republic of Panama Papers

MR. KASBIAN NURIEL CHIRICH Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr. Azizi ROSTAM Tanzania, United Republic of Panama Papers

Nawshad Ahmed Hassanali Tanzania, United Republic of Panama Papers

JORGE MARITINO Tanzania, United Republic of Panama Papers

EDUARDO MARTINO Tanzania, United Republic of Panama Papers

JORGE MARTINO Tanzania, United Republic of Panama Papers

EDUARDO MARITINO Tanzania, United Republic of Panama Papers

JACEK MONLNIK ROGOYSKI Tanzania, United Republic of Panama Papers

BOULDER MINING LIMITED Tanzania, United Republic of Panama Papers

MRS. SUKAINA MANJI Tanzania, United Republic of Panama Papers

Talal Mohamed Abood Tanzania, United Republic of Panama Papers

Abbas Mohammed Jessa Tanzania, United Republic of Panama Papers

NARENDRA VAGHJIBHAI PATEL Tanzania, United Republic of Panama Papers

Ms. Zuzana Kovacicova Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr. Eric PASANISI Tanzania, United Republic of Panama Papers

SAJJAD MOHAMEDHUSSEIN VIRANI Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr. Eric PASANISI Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr. Suril Shah Tanzania, United Republic of Panama Papers

Suril V. Shah Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr Kalpesh Menhta Tanzania, United Republic of Panama Papers

Roberta Thomaz de Mattos Brisolla Tanzania, United Republic of Panama Papers

NICHOLAS CHARLES WILSON Tanzania, United Republic of Panama Papers

SEYDOU KANE Tanzania, United Republic of Panama Papers

KONSEL JAMES WAMBURA Tanzania, United Republic of Panama Papers

Abbas Mohamed Jessa Tanzania, United Republic of Panama Papers

SUN MINING LIMITED Tanzania, United Republic of Panama Papers

Abdulaziz Mohamed Abood Tanzania, United Republic of Panama Papers

ABBAS MOHAMMED JESSA Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mohamed Panju Jessa Tanzania, United Republic of Panama Papers

Abbas Mohamed Jessa Tanzania, United Republic of Panama Papers

HARIDATT VAGHJIBHAI PATEL Tanzania, United Republic of Panama Papers

Fauzi Mohamed Abood Tanzania, United Republic of Panama Papers

B.A. KOTECHA Tanzania, United Republic of Panama Papers

R.D. KOTECHA Tanzania, United Republic of Panama Papers

MRS. SUKAINA MANJI Tanzania, United Republic of Panama Papers

SUKAINA MANJI AND YUSUF MANJI AS TRUSTEES OF THE MANJI FAMILY TRUST Tanzania, United Republic of Panama Papers

ANIL VAGHJIBHAI PATEL Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mrs Kantaben Manibhai Chhotabhai Patel Tanzania, United Republic of Panama Papers

MRS. ROSMINA KANANI Tanzania, United Republic of Panama Papers

MR. DANIEL LITTMAN Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mrs. Aarti Puri Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr. Eric PASANISI Tanzania, United Republic of Panama Papers

Mr. Azizi ROSTAM Tanzania, United Republic of Panama Papers

Andre Schmid Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

KANIZ MEHBUB MANJI Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

Mr. Stuart Hugh MacDonald Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

Mr Rameshchandra Chotalal Somani Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

Rameshchandra C. Somani Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

Mr. Rameshchandra C. Somani Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

MEHBUB YUSUFALI MANJI Tanzania, United Republic of Offshore Leaks

Wengine ni;

LIERVAAG, M.
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

NICITERETSE, ROGERTanzania, United Republic ofPanama Papers

JAMES BABAN
Tanzania, United Republic of, MauritiusPanama Papers

WHEELOCK HOLDINGS LTD.
26-NOV-1996 British Virgin Islands Tanzania, United Republic of Panama Papers

RICHMOND FINANCE CORPORATION 11-MAR-1986 Panama Tanzania, United Republic of Panama Papers

EXPRO ENERGY LTD. 23-JUL-2014 British Virgin Islands Tanzania, United Republic of Panama Papers


Vilevile zimepatikana anwani za watu 38 kati ya hao ambazo ni;

42 KWALE RD; OYSTER BAY; DAR ES SALAAM; TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

5060 Morogoro Road; Daresalam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Av. De Mayo 701 piso 19; Buenos Aires; Argentine Republic
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

C/O PLOT 40 KURASINI; TEMEKE DISTRICT; PO BOX 359; DAR ES SALAAM; TANZANLA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

DoB 18/10/1969 Slvak Republic
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

FLAT NO. 5 1st FLOOR TANGANYIKA FLATS INDIRA GHANDI HOUSE PO BOX 1912 DARESSALAAM TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Kunduchi; Plot 52/53 - 21880 - DAR ES SALAAM; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Kunduchi; Plot 52/53 - 21880 -DAR ES SALAAM; Tanzanie
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

OLD MANAGER'S HOUSE; MIRINGA COFFEE ESTATE; OLD DODOMA ROAD; ARUSHA; TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

OLOUMI; LIBREVILLE; GOBONESE REPUBLIC
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

PLO NO. 14/15 SOUTH STREET (MTENDENI); DA ES SALAAM; TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot 14/13 P.O.BOX 1440 SOUTH STREET, DAR ES SALAAM
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot 14/15; P.O. Box 1440; South Street; Dar es Salaam
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot 14/15 South Street (Africa Street); Dar es Salaam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

PLOT 1414; MASAKI; DAR ES SALAAM; TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

PLOT 2361/4; SEA VIEW; UFUKONI ROAD; UPANGA; DAR ES SALAAM; TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

PLOT 435; MALIK ROAD; UPANGA EAST; DAR ES SALAAM; TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot 6J; John Mahenge Street; P. O. Box 127; Morogoro; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot no. 1/13/C; House no. 3; Chisiza Close; Oyster Bay; Dar Es Salaam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot No. 904; Mfaume Street; Upanga East; P.O.Box 63136; Daressalaam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

PO Box 1072; Dar Es Salam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama PapersPO BOX 1258; DAR ES SALAAM; TANZANLATanzania, United Republic ofPanama Papers

P.O. Box 42166; Dar es Salaam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

P.O. box 6223; H.No 859; Mazengo Street; Dar ES Salaam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

P.O.BOX 9284PLOT 362B MSASANI RENINSULA DAR ES SALAAM.
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Quality Group 6 Nyerere Road; P.O. Box 235; Dar Es SalaamTanzania, United Republic ofPanama Papers

Quality Group; 6 Nyerere Road; P.O. Box 235; Dar Es Salaam; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

RG: 10.132.496-0; Rua Joel Jorge de Mello no 468-apto.21; Vila Mariana-SP-04128-080.
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

Plot 66 Ghuba Road; Oyster Bay; P.O.Box 23287; Dar Es Salaam; Tanzania.
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

1748 India Street; Tanga; Tanzania
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

2379/34 WINDING AVE, P.O. BOX 105796 DAR ES SALAAM TANZANIA
Tanzania, United Republic ofPanama Papers

P.O. Box 1192, Dar es Salaam, Tanzania
Tanzania, United Republic ofOffshore Leaks

P.O. BOX 235 DAR ES SALAAM TanzaniaTanzania, United Republic ofOffshore Leaks

Lohana Complex, Block 20, Dar-Es-Salam, Mtedeni/Mreema St. P.O.Box:22246,Tanzania
Tanzania, United Republic ofOffshore Leaks

Plot 310A Mikocheni Off Garden Road, Dar-Es-Salaam Tanzania
Tanzania, United Republic ofOffshore Leaks

Shri Lohana Mahajan Building, Mrima, Temple Street Dar-E-Salam, Tanzania
Tanzania, United Republic ofOffshore Leaks

Shri Lohana Mahajan Building Mrima Temple Street Dar-E-Salam Tanzania
Tanzania, United Republic ofOffshore Leaks

Link hii chini

https://offshoreleaks.icij.org/search?utf8=✓&q=&c=TZA&j=&e=&commit=Search


Link hii hapa ICIJ Offshore Leaks Database
SASA MMESHAJUWA NANI WANATUFILISI WATANZANIA? WAGENI NDIO MWIBA KWETU, sheria yakunyonga ije maana wanakula na watu wakubwa
 
Hao wote, hamna mtanzania hapo,
Na ndiyo ambao hata JPM alivyokuwa kule Arusha alisema kuna watu wachache sana ambao hao hao utawakuta kwenye sukari, magumashi ya kuingiza vitu bandarini..... kila sehemu ni hao hao tu.
Saa hizi ni kudhibiti tu njia za utoroshaji pesa kwenda nje ya nchi...
 
Mbona Edo anaitwa Fisadi lakini kwenye hiyo Orodha hayumo.? Jamaani tunaompa jina la Ufisadi huenda ndio wao mafisadi
 
Utetezi mwepesi huo kaka. Tafuta jinsi nyingine. Hii ni moja ya scandal kubwa duniani baada ya snowden wewe unaleta utetezi wako mbuzi kaka ama unatania?
Hapana sitetei mtu, Nilitaka tu Kuonyesha Upande mwingine, Nilijaribu Kuwa Wakili wa shetani!
 
Huyu hassanali, panju, abood, lostam azizi duuu sijui ndio wanaifaidi asali ya Tanzania
 
Kama vile mwanga ukiuzima linavyotokea giza ndivyo ngozi hii nyeupe ya mhindi ukiichuna inavyotokea ngozi nyeusi ya mmatumbi.
Binya korodani za hawa wahindi wawaambie wamiliki halisi wa hayo maoffshore acc.
Mtashangaa wenyewe!
 
PANAMA PAPERS

Please read the statement below before searching

There are legitimate uses for offshore companies and trusts. We do not intend to suggest or imply that any persons, companies or other entities included in the ICIJ Offshore Leaks Database have broken the law or otherwise acted improperly. Many people and entities have the same or similar names. We suggest you confirm the identities of any individuals or entities located in the database based on addresses or other identifiable information. If you find an error in the database please get in touch with us.

I have read and understood the terms
Please accept the terms to continue
https://offshoreleaks.icij.org/search?utf8=✓&q=&c=TZA&j=&e=&commit=Search
Hakuna ubuyu hapa. baaasi wamemaliza!
 
Ndiyo maana wakati wa Bunge la Katiba baadhi ya wajumbe wakiwemo kina Chenge walikuwa wanatetea sana Watanzania kuwa na uraia wa nchi mbili na pia kuruhusiwa kumiliki akaunti nje ya nchi.

Kwa sasa ili umiliki akaunti nje ya nchi unatakiwa upate kibali toka BoT. Hivyo kama hao Watanzania wanamiliki akaunti hizo nje ya nchi bila kibali cha BoT basi wamevunja sheria.
 
Pia Rostam aziz mfadhili wa chadema kwenye kampeni.

Huyo Fauzi Abood ni mdogo wake Aziz Abood wa Morogoro.


miaka ile alipogundulika ni mbunge bilionea wakati biashara zake hazieleweki serkali ya wakati ule haikutaka kuendelea kukaa na watu wa aina hii na walijua amejiingiza kwenye siasa ili afanye bisha zisizo halari, serkali ikamfanyia figisu kama mzee wetu yule akajihuzuru ubunge, kwa hasila akaenda kuomba ahamishe pesa zake kwenye account zake apeleke kwingingine, watu wa serkali wakamfuata wakamuomba asifanye hivyo lakin ikashindikana na ndio akazihamisha, sheria ilikua inaluhusu kwa njia halali. na ndio hali ya uchumi ikatikisika kwelikweli, vitu vikapanda, pia mishahara haikuongezwa kalibu kwa miaka mi3, ndio nwanzo wa mzee wetu kuanza kutembeza bakuli kwa hali na mali kuomba msaada ili watoto wasife njaa, tusieyajua haya tulitukana sana kua baba ameshindwa kulea familia, ndio maana nadiliki kusema! matajiri wakiamua wanaweza kuitetelesha nchi maana mzee wa kaya wa wakati ule angekua regerege angeshajihuzuru mwenyewe. na ndio haohao tunaowaona leo wanalalamika deni limekua wamesahau yale mabilioni waliohamisha.
 
Hahahahah nafurahi kushuhudia jinsi mungu anavyowaumbua watu waliombeza zitto kipindi anatangaza hayo majina pale mwembe yanga
 
nafikiri sasa picha rasmi la utumbuaji ndio linaelekea kuanza official nafikiri document hii ni sehem nzuuuri ya kuanzia so far
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom