Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

Wamefinya hela ama wamehidha mahala Salama ambapo inawezekana wanapata riba kubwa kwa kuzifadhi huko. Ukiwa mfanya biashara mkubwa ni lazima utakuwa na akaunti nyingi kwa maeneo unayofanyia biasha ili kurahisisha transaction. Hapo bado sijajua kama kuna kosa lolote kuhusiana na hela hizo.
 
Mbona sijaona jina la EL? si kila siku mnasema ana fedha nyingi? toeni naye siri zake tuone ameficha kiasi gani huko nje, Badala yake tunaona wanachama wengine tu wa kile chama chenu ambao kwa sasa hamtaki hata kuwataja. Political correctness will kill you CCM guys....
Hujaiona RICHMOND HAPO?
 
Karibu wote ni wahindi. Kwenye sukari ni wahindi. Tuwafanyaje hawa magobachori? Nawaona Manji na Abood,Diwani na Mbunge wa CCM.

Mzee Tupatupa

tatizo sio wahindi ! tatizo ni ndugu zako na wewe mwenyewe. mnampa mtu mali zenu anawagawia watu kwa kuchukua ten percent ya yeye kujikimu alafu unakuja kuwaona hawa ndio wabaya?

wangapi ndugu zetu wameuza nyumba za urithi za wazazi wao kwa bei za chee na wengi tunanunua hapo hapo tunaona sawa. ndugu zetu wakiuza urithi wetu eti wanaonunua ndio wenye makosa.

si mnasheherekea uhuru kila mwaka? wazee wenu waliuzwa kwa chanuo na vioo vya kujitazama na bado mnawaona wazungu ndio wenye makosa tu si ndugu zenu kwa kuwauza ndugu zao wala si nyinyi kwa ujinga wenu.

leo hii bei ya soko imebadilika mali zinauzwa kwa mtumishi wa umma kupata maisha ya kifahari kwa 10% huku mali za jamii zikiruhusiwa kuporwa, tenda zote wamekamata mpaka ujenzi wa ikulu, madini yote hatupati kitu hivi sisi tumlaumu nani kama si kujilaumu wenyewe?

wanaofanya haya ndio tunawaona role model.
 
Mimi sio mbaguzi ila naomba serikali yetu itoe tamki iwafukuze hawa wahindi wote na watoke kwenye yale majumba kariakoo watuachie nchi yetu waende makwao....kwanza ni ngumu kufanya hivyo??
 
ukiona mpaka zinafichwa zimekua nyingi na haziishi leo wala kesho na hakuna haja ya kuziinvest tena kwa sababu investiment zilizopo zinawazalishia sana! ila haya maisha ya ajabu, mi na kizazi changu tunahangaika kutafuta hela ya kula wakati kuna watu mpaka wanazificha?
 
Mimi sio mbaguzi ila naomba serikali yetu itoe tamki iwafukuze hawa wahindi wote na watoke kwenye yale majumba kariakoo watuachie nchi yetu waende makwao....kwanza ni ngumu kufanya hivyo??
Papizo na wewe urudi kwenye papa
 
ni kosa kisheria,lionel messi mchezaj wa barcelona nae anatuhumiwa huko nchini kwao kwa kosa hli la kuweka hela panama(lbda nikupe mfano huu ndo utaamini,maana wazungu tuu ndo huwa wapo sawa)
Seedof pia mchezaji wa zamani wa Inter Milan na timu ya taifa ya Netherland pia kaweka huko sasa hivi ana ng'ang'aniwa ha Uhollanzi, waziri mkuu wa Iceland pia kajiuzuru sababu ya kuweka pesa huko, ila Putin ndio kakomaa anasema ni propaganda za watu wa Western kutaka kumchafua
 
Mh, nahaya tena mengine, watz kw kujisahau nastori za kizani, yaan ni mabingwa sna, hakuna atakae athiria kwa waliotajwa hapo coz hio ni km game tuu watu wanacheza na kuchezea akili za wengine, hio gem inasubir tu muda wake uishe km gem zengin (escro na nk), mi huwaga cshabikii hivy vitu na naviona km ni stori ya kutafutia usingiz.

Nchi hii fanya yako yaende coz ukiyafatilia ya mwenzak jua yak yanapotea.
 
Jamni tuwe waelewa kuweka hela huko sio kosa!

Kosa linakuja pale wewe MESSI unatuambia kipato chako kwa mwaka ni 10,000/= na tunakukata kodi ya 10,000/= kumbe unahela zaidi umeingiza kw amwaka huo na mamlaka haijuhi kuw aunazo hapo unakuwa umekwepa Kodi.
 
Acha Ujinga wewe Wangekua Civil Servant sawa sasa Watu kama akina Abood akina Rostam Aziz wana Hustle taangu Zamani wana Pesa Kuweka Nje Pesa zake iwe Tatizo? Serikali yenyewe ina Account zake nje Huko siyo Kuficha ila wameweka maana zimetoka katika true source katika biashara zao na kwa bahati nzuri hakuna watumishi wa Umma tuwe tunafikiria wabongo.


Tumia akili KODI ya mapatio wamelipa? huku kwetu tunawqeza kumezea lakini huko kwa wenzetu hakika lazima kinuke!
kodi ni issue!
 
ni kosa kisheria,lionel messi mchezaj wa barcelona nae anatuhumiwa huko nchini kwao kwa kosa hli la kuweka hela panama(lbda nikupe mfano huu ndo utaamini,maana wazungu tuu ndo huwa wapo sawa)
hakushitakiwa kwao, au unataka kuniambia yeye ni raia wa spain?
yeye alishtakiwa spain anapoishi na kufanya kazi yake.
 
Hapo naona majina ya kihindi,kiarabu,kifarsi,kitaliano,ki scandinavia,sjui kipolish na kidhungu kwa ujumla.eidha macho yangu hayako vizuri ama sjaona kabisa majina ya kibantu au yako machache.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom