Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

Zitto aliwataja Mwembeyanga matajiri walioficha pesa Switzerland mkamletea kejeli kuwa anawaletea majina ya wahindi.

Watanzania kwa unafiki tupo vizuri Zitto alijaribu kuwafahamisha jinsi gani pesa inavyotakatishwa ili kukwepa kodi waliishia kumkejeli na kumsema vibaya.

Leo hii wanajifanya hii habari mpya kwao hawa ndiyo Watanzania.
Majina sidhani kama kuna waliokua hai, wale waliokuwepo kabla ya kupata Uhuru.
 
Kwani kuna kosa lolote wao kuweka huko hela?
Acha kujifanya mjinga, Watu wanaiba pesa hapa nchini na kuhifadhi katika bank zingine je saa ngapi kutakuwa na mzunguko wa hela ndani ya nchi? Bado kwenye viwanda vyao kuna mateso tele kwa watanzania masikini.
 
Unasema, Idi Amin was right wakati kauwa nchi, Museveni anawaomba mpaka sasa wafanyabiashara toka Uingereza na Canada, huku akiwaambia yupo tayari kuwarudishia nyumba, viwanda na kampuni zao zilizotaifishwa warudi Uganda, wakamtalia kwani wengi wao ni kati ya matajiri wakubwa sasa nchini Uingereza na Canada. Wahindi ni wachapa kazi, wanatumia akili siyo nguvu, waingereza kabla ya kuja wahindi wanaenda shopping jumamosi na jumapili, sasa watu wanafanya shopping wakati wowote mpaka saa sita usiku. Usiihukumu jamii nzima kwa makosa ya wachache.
Farid,
Sio hukumu ni ukwel huo..... Wahindi wanavyofanya business Canada & UK ni tofaut kabisa wanavyofanya TZ.
Nchi za wenzetu wanajua kabisa company fulan mapato ya mwaka huu ni kiasi fulan, kodi yake kiasi fulan. Tofaut na Nchi yetu ambapo viongozi Wana collude nao kukwepa kodi & kutorosha fedha. Bot & Wizara ya fedha ni sehemu ya magenge ya kutorosha fedha. UK kwenye kodi Wapo tayari ku ku deport, hawa Wahindi wanachuma nchi zilizolala na kwenda ku spend nchi zilizoendelea. Lazima serikali kupitia vyombo vyake wewe makini Sana.
 
Tumesoma majina ya watu walioficha pesa nje na katika mfumo kama huu wa utakatishaji fedha nje ya nchi..basi nchi maskini ndio zinazo athirika zaidi..Mmoja wa waliotajwa ni yule best JK.
JPM utawatumbua majipu au utawaogopa maana wananguvu za kifedha..
 
Rafiki zake na Lowasa kina rostam ni wezi sana

Eh magufuli anza na hawa waficha hela plz

Ukitumbua hawa tu basi umeshamaliza UFISADI
Sio aanze na yule Mzee wa Msoga aliyekwapua Billion 73 za ESCROW? Au mnamwogopa?
 
Kuna Msemo Unaosema Huwezi Kuweka Mayai yote Katika Kapu moja, Sio wote wanaoweka Pesa Zao bank za Nje ni mafisadi, Ila wanahofu ya Stability? Sisi watanzania Hatuelewi, Lakini Jiulize Unawekeza lets say $500,000,000 Kama alivyofanya Aliko Dangote, halafu wanatokea wajinga wajinga, wanavuruga amani Kwa Kuwa tu wanafikiri wana hati miliki ya Kutawala. Unaweza Kupata hasara Kubwa ya Fedha ambazo umezifanyia Kazi Maisha yako yote, au zingine zikiwa ni Mikopo ya Banks. Hivyo wengine wanachukua Tahadhari tu!
Utetezi mwepesi huo kaka. Tafuta jinsi nyingine. Hii ni moja ya scandal kubwa duniani baada ya snowden wewe unaleta utetezi wako mbuzi kaka ama unatania?
 
Farid,
Sio hukumu ni ukwel huo..... Wahindi wanavyofanya business Canada & UK ni tofaut kabisa wanavyofanya TZ.
Nchi za wenzetu wanajua kabisa company fulan mapato ya mwaka huu ni kiasi fulan, kodi yake kiasi fulan. Tofaut na Nchi yetu ambapo viongozi Wana collude nao kukwepa kodi & kutorosha fedha. Bot & Wizara ya fedha ni sehemu ya magenge ya kutorosha fedha. UK kwenye kodi Wapo tayari ku ku deport, hawa Wahindi wanachuma nchi zilizolala na kwenda ku spend nchi zilizoendelea. Lazima serikali kupitia vyombo vyake wewe makini Sana.
Kwa taarifa yako hata huko UK na USA wanafanya hicho kitu, kisheria si kosa bali ki moral ni kosa. huwezi mpeleka mtu mahakamani na ukashinda kesi kwa kuweka pesa katika offshore account. Inachotokea hapa ni kuaibishana maana aibu ni kubwa hasa kwa viongozi wa serikali kama kilchomkuta David Cameron baba yake pia aliweka huko pesa imemfanya mpaka aweke hadharani vitabu vyake vya mahesabu.
 
Acha Ujinga wewe Wangekua Civil Servant sawa sasa Watu kama akina Abood akina Rostam Aziz wana Hustle taangu Zamani wana Pesa Kuweka Nje Pesa zake iwe Tatizo? Serikali yenyewe ina Account zake nje Huko siyo Kuficha ila wameweka maana zimetoka katika true source katika biashara zao na kwa bahati nzuri hakuna watumishi wa Umma tuwe tunafikiria wabongo.
 
Mbona sijaona jina la EL? si kila siku mnasema ana fedha nyingi? toeni naye siri zake tuone ameficha kiasi gani huko nje, Badala yake tunaona wanachama wengine tu wa kile chama chenu ambao kwa sasa hamtaki hata kuwataja. Political correctness will kill you CCM guys....
 
Hivi ulishawahi kuona mtu anapopeleka pesa benki anatangaza hadharani? Hebu nijaribu na wewe, lini unapeleka pesa zako benki? Alafu utapeleka sh ngapi? Alafu utapitia njia gani?
Tuache mihemko sio kila anaetunza pesa zake nje ya nchi ni mwizi. Kuna mambo yatakulazimisha huwe na account nje.
Haaah yaan una uelewa mdogo sana wa hii ishu ya panama paper. Kupeleka hela bank hata ukzifcha kiasi gani haimaanshi ndo kukwepa kodi...ishu ya panama ni wale wanaoficha TRANSACTIONS HALISI za pesa zao...sasa hata wewe ukzfcha uwezavyo pesa zako wakati wa kupeleka bank sio ishu, tukienda bank tutapata transactions zako zote A-Z...
 
Kutoka hiyo site:

Disclaimer
There are legitimate uses for offshore companies and trusts. We do not intend to suggest or imply that any persons, companies or other entities included in the ICIJ Offshore Leaks Database have broken the law or otherwise acted improperly. Many people and entities have the same or similar names. We suggest you confirm the identities of any individuals or entities located in the database based on addresses or other identifiable information. If you find an error in the database please get in touch with us.
Kwa hawa magabacholi hatuna shaka nao ...ni wenyewe hasa...wakati ni huu...wa masikini wenye pande lao la ardhi(nchi) kushika uchumi......
 
Kwa taarifa yako hata huko UK na USA wanafanya hicho kitu, kisheria si kosa bali ki moral ni kosa. huwezi mpeleka mtu mahakamani na ukashinda kesi kwa kuweka pesa katika offshore account. Inachotokea hapa ni kuaibishana maana aibu ni kubwa hasa kwa viongozi wa serikali kama kilchomkuta David Cameron baba yake pia aliweka huko pesa imemfanya mpaka aweke hadharani vitabu vyake vya mahesabu.
Unaelewa ninachosema,
Pesa nyingi za Panama ni za magumashi . Ndio maana Kuna names zimefichwa. Wameandika mpaka mitaa ya miji na sio real names. Kuweka pesa halali au ambayo imekatwa kodi hapo hakuna problem.
Wengi wametorosha pesa kihuni na kuamua kuficha huko..
Soma vizuri scandal kwanini mnyetishaji kuamua kulipua hii kitu.
 
Labda ni makosa kumhusisha Rostam na CHADEMA badala ya kumhusisha na Team Lowassa. Lakini ilitokea Team Lowassa ikanunua CHADEMA na Rostam akiwa sehemu ya wanunuzi na kwa vile CHADEMA haikubadili jina ndio maana Rostam anahusishwa na CHADEMA japo kiukweli CHADEMA ilikufa na ikabaki Team Lowassa wakati wa uchaguzi 2015 ambapo Rostam alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha mgombea wao anaingia ikulu japo bila mafanikio
really...do u have evidence of Rostam involvement in CHADEMA? Or just Porojo
 
Unaelewa ninachosema,
Pesa nyingi za Panama ni za magumashi . Ndio maana Kuna names zimefichwa. Wameandika mpaka mitaa ya miji na sio real names. Kuweka pesa halali au ambayo imekatwa kodi hapo hakuna problem.
Wengi wametorosha pesa kihuni na kuamua kuficha huko..
Soma vizuri scandal kwanini mnyetishaji kuamua kulipua hii kitu.
Hilo ndio la msingi yaani kodi imelipwaaaa?? Nashangaa baadhi ya commentators humu ndani empty headed kabisa ovyoook
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom