Pamoja na Tanzania kutaka wasimame, Malawi kuendelea na utafiti wa mafuta na gas Ziwa Nyasa

nicksemu

Senior Member
Feb 6, 2012
199
39
LILONGWE (Reuters) - Malawi will press ahead with oil and gas exploration in Lake Malawi despite demands by Tanzania to halt such activities until a border dispute is resolved, Foreign Affairs Minister Ephraim Chiume said on Monday.

"We have categorically told Tanzania that as far as we are concerned, the entire lake belongs to us and therefore we cannot stop exploration activities," Chiume told Reuters.

Habari ndiyo hiyo wadau, jamaa wameonyesha msimamo wao pamoja na mikwara yote ile.

MONDAY (AUGUST13, 2012)
 
Si waende, wanangoja nini? mbona wameondoa videge vyao ziwani, upande wa Tanzania.
 
Reuters ni wale wale waliomua Ghadafi majizi makubwa yanataka tupigane yauze silaha...stupid...Malawi tukiamua tunawapiga hata sekunde haifiki ila hatutaki...
 
Siku nyingi wanajeshi wetu hawajafanya mazoezi,nazani hiyo itakuwa mechi ya kirafiki kwao,wao,waendelee waone.
 
Inabidi utupe tarehe pls which monday bse najua Ziwani izo shughuli zilishasimama
Nakumbuka same stm iliwai tamkwa na uyo Chiume isije ikawa ni marudio kuamsha hasira za watz
 
Nasisi as far as we are concerned the half side of the lake belongs to TZ, so no other country is allowed to run their activities there.
 
Maskini TZ yani hata hatuna submarine ambazo zinaweza act as vifaru ardhini, hatuna warships such as frigates, destroyers ambazo zinaweza fire missiles and not rockets we cant depend on fighter jets since Malawi have anti-air craft missiles so ukipeleka ndege za kivita tu zinatunguliwa and am not sure km TZ tuna long range missiles ambazo zinaweza kua fired from any part of TZ mpaka zifike MALAWI so sijajua hao wanajeshi wetu watapiga mbizi km SAMAKI na bunduki zao what kind of war are we going to fight kama tu ata vipatrol boat tu ni shida? Tukumbuke Comoros tu tulimpoteza askari wetu majini na sidhani km alipatikana? Maajabu ya karne ya 21
 
Reuters ni wale wale waliomua Ghadafi majizi makubwa yanataka tupigane yauze silaha...stupid...Malawi tukiamua tunawapiga hata sekunde haifiki ila hatutaki...

Wewe ni lowasa nini?
 
Mh! el si alisema wako fit? Hivi mwenye hilo jukumu la kutamka hivyo ni nani?
 
coments za wamalawi, they underestimate us! Hawajawahi kupigana hata na kijiji! Sisi mwaka jana tu operation chakaza!
 
Hapo kazi sasa,natoa onyo kwa wale watoto wa mama walojiunga tpdf kwa ajili ya kufuata vyeo na cutting price ya beer, vita itapoanza wasikimbie.
 
maskini tz yani hata hatuna submarine ambazo zinaweza act as vifaru ardhini, hatuna warships such as frigates, destroyers ambazo zinaweza fire missiles and not rockets we cant depend on fighter jets since malawi have anti-air craft missiles so ukipeleka ndege za kivita tu zinatunguliwa and am not sure km tz tuna long range missiles ambazo zinaweza kua fired from any part of tz mpaka zifike malawi so sijajua hao wanajeshi wetu watapiga mbizi km samaki na bunduki zao what kind of war are we going to fight kama tu ata vipatrol boat tu ni shida? Tukumbuke comoros tu tulimpoteza askari wetu majini na sidhani km alipatikana? Maajabu ya karne ya 21

hilo nalo neno!
 
Maskini TZ yani hata hatuna submarine ambazo zinaweza act as vifaru ardhini, hatuna warships such as frigates, destroyers ambazo zinaweza fire missiles and not rockets we cant depend on fighter jets since Malawi have anti-air craft missiles so ukipeleka ndege za kivita tu zinatunguliwa and am not sure km TZ tuna long range missiles ambazo zinaweza kua fired from any part of TZ mpaka zifike MALAWI so sijajua hao wanajeshi wetu watapiga mbizi km SAMAKI na bunduki zao what kind of war are we going to fight kama tu ata vipatrol boat tu ni shida? Tukumbuke Comoros tu tulimpoteza askari wetu majini na sidhani km alipatikana? Maajabu ya karne ya 21

usijifanye unaongea kama unajua kila kifaa cha jwtz! Kaa kimya na subiri kutazama.
 
Maskini TZ yani hata hatuna submarine ambazo zinaweza act as vifaru ardhini, hatuna warships such as frigates, destroyers ambazo zinaweza fire missiles and not rockets we cant depend on fighter jets since Malawi have anti-air craft missiles so ukipeleka ndege za kivita tu zinatunguliwa and am not sure km TZ tuna long range missiles ambazo zinaweza kua fired from any part of TZ mpaka zifike MALAWI so sijajua hao wanajeshi wetu watapiga mbizi km SAMAKI na bunduki zao what kind of war are we going to fight kama tu ata vipatrol boat tu ni shida? Tukumbuke Comoros tu tulimpoteza askari wetu majini na sidhani km alipatikana? Maajabu ya karne ya 21
Binary Kumbe huijui JW,
Hivyo vipigambizi vilikuwa tele ziwa Victoria wakati nduli anashughulikiwa.
 
Maskini TZ yani hata hatuna submarine ambazo zinaweza act as vifaru ardhini, hatuna warships such as frigates, destroyers ambazo zinaweza fire missiles and not rockets we cant depend on fighter jets since Malawi have anti-air craft missiles so ukipeleka ndege za kivita tu zinatunguliwa and am not sure km TZ tuna long range missiles ambazo zinaweza kua fired from any part of TZ mpaka zifike MALAWI so sijajua hao wanajeshi wetu watapiga mbizi km SAMAKI na bunduki zao what kind of war are we going to fight kama tu ata vipatrol boat tu ni shida? Tukumbuke Comoros tu tulimpoteza askari wetu majini na sidhani km alipatikana? Maajabu ya karne ya 21

Subiri utaona!,...au unaweza kuwauliza gongolamboto!
 
Back
Top Bottom